dj afro fan
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 103
- 74
Nenda pole pole utagundua nn shida. Kuna watu wengine wanachangamoto na hawawez hata waambia wake zao ndo inapelekea hata kutompa huduma mke. Sio kwamba anakuchukia au anachepuka hapana, ni issue kama hizo stress ambazo hawez hata kukuambia