Acha maneno ya kijinga mimi nalala

Kama kwa mwali kwaliwa na kwa kungwi kuliwe. Ukipenda kugusa sim ya mwenza wako basi na wewe ukubali yako
Maneno kuntu hayo mkuu Amavubi ila sisi wanaume hatuwezi kubali, eti ashike simu yangu ili iweje na kwa nini ikaitwa simu yangu na si yake mi hapana sigusi yake nae asiguse yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…