twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
- Thread starter
- #21
ahahahahaahah..mkuu inabidi ukatoe sadaka tu..Nakuja pm mzeeiya maana dah! Leo najisikia kuchunwa chunwa
ahahahahaahah..mkuu inabidi ukatoe sadaka tu..Nakuja pm mzeeiya maana dah! Leo najisikia kuchunwa chunwa
ahahahahaahah..mkuu inabidi ukatoe sadaka tu..
ahahahahah..mkuu umepinda kweli..ah ah ah! Sadaka ni mimi mwenyewe mkuu
ahahahahah..mkuu umepinda kweli..
dah! Bishanga huyu mtoto si muwezi khaa!! manoah mwanangu, kweli umefikia hapa kweli wewe uliyenyonya matiti yangu, ukakaa viunoni mwangu hadi baba yako alpokuhamishia tumboni miezi 9??
ama kweli heri tumbo lisilozaa, na heri matiti yasiyonyonywa. sikulaani ila umeniliza mwanangu. na ugumu wa kazi zako na risk ya kazi yakobado tu unataman kwenda kuhonga mwanamke??
unakumbuka siku ile pale nyumban mbele ya wadogo zako nilikwambia nini?? pse naomba wkend hii uje home niko siriaz kabisa.
Ahahahahahah..nshaambiwa nimefulia mimi.Bahili yangu sabuni.Wacha niwaachie akina pedeshee manoah wafanye kazi yao..::
Ha ha ha Na wewe mwambie "acha longolongo nilikua natania"
=
ahahahahah..nimekusoma mkuuah ah ah! nimekupata, mfumo wenyewe wa maisha unasababisha tupinde