Acha longo longo we sema una shilingi ngapi..

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Hayo maneno yanaitwa makavu laivu nimepewa na mrembo mmoja hivi anayesoma kwenye chuo maarufu jijini Dar.Yaani bila laki 1 sijapiga bao na usiku kucha laki 4 na kama nimeshindwa kupanda dau niwakaribishe wengine.Mtu mzima nilibaki natoa mimacho tu yaani katoto karembo tena kadogo dogo kama ka lulu hivi(19+age) kananipa ukweli mtamu hivyo.Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
 
Umenikumbusha kuna dem tulikuwa tunamwita laki 3,yaani bila laki 3 hulambi!
 
niletee huyo kama ulimshindwa, alafu acha ubahiri mkuu[/QUOTE}Ahahahah..mkuu nilishindwa bhana mtu mwenyewe pesa naipata kwa tabu kichizi yani kisa nyapu nijute.Bahili yangu soap au kwa watoto wa chips kuku.Pedeshee manoah ngoja nikukabidhi mkuu.
 
twende kazi yap, nipe direction mkuu, maana leo ni weekend alafu nipo bored kinoma noma, mie, nitakua steers karibu na kitega uchumi nipe namba yake najua litakua toto la mitaa hiyo
 
Last edited by a moderator:
Hayo maneno yanaitwa makavu laivu nimepewa na mrembo mmoja hivi anayesoma kwenye chuo maarufu jijini Dar.Yaani bila laki 1 sijapiga bao na usiku kucha laki 4 na kama nimeshindwa kupanda dau niwakaribishe wengine.Mtu mzima nilibaki natoa mimacho tu yaani katoto karembo tena kadogo dogo kama ka lulu hivi(19+age) kananipa ukweli mtamu hivyo.Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
...hahahahahahaha...mkuu mie ilishanikuta hiyo...
 
twende kazi yap, nipe direction mkuu, maana leo ni weekend alafu nipo bored kinoma noma, mie, nitakua steers karibu na kitega uchumi nipe namba yake najua litakua toto la mitaa hiyo
ahhahahahaahah..mkuu umekipania kweli babake..take care
 
me, ndio nawapenda wa ivyo bana, wapo wa wawazi tu, so unacheza kama gaucho nipate toto ilo
ahahahahah..mkuu toto biashara ilo mimi limenishinda nipo mkoa kikazi..kama unataka kulimega serious nicheki pm nikupe mchongo kamili.
 
Back
Top Bottom