AlphaMale_
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 246
- 552
yani tatizo sio majiran ni hali ya kulala na malaya in your bed of lies kweli??? vijana waache mara mojaMbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.
NI LAANA JUU YA LAANA.
Kwaio kisa mtu amekua shoga na ana pesa nawew una iga?Job true true.
Sasa mbona huko majuaa wana nyanduna na malaya lakini naona vijana wao ndio wanazidi kufanikiwa. E u nielewesheni hapo.
Wewe huwa unaingiza ghetto au unaenda lodge?Kweli kabisa
Mkuu hiyo zamnKuleta Demu sio inshu, inshu ni kule mademu kama una DANGURO ndani kwako.
Zingatia : BINADAMU HUPANDISHWA NA WATU NA PIA HUSHUSHWA NA WATU WALIOMZUNGUKA.
Ah wee ukitaka kiguata ya jamii mzeya utashindwa enjoy life. Usipogegeda watasema unanyetuka. Ukigegeda sana watasema wee malaya. Kula mbususu mkuu kadri lesa inaruhusuHahaha!
Heshima kwa jamii ina thamani zaidi kuliko pesa ya Lodge Mkuu.
Sahihi.Tunaojielewa huwa tunatoa ushauri ili vijana wenzetu wasije kulalamika mbeleni.
UAMUZI NI JUU YAO.
Story za mashoga zinatokea wapi tena wakati hapa tunaongelea suala la kugegeda malaya. Mbona tiger woods alikuwa anasafirisha malaya kwenye private jet mzeya lakini mambo mukideKwaio kisa mtu amekua shoga na ana pesa nawew una iga?
🤣🤣🤣🤣 Haya sasa ndio manenoUshauri huwa sio Sheria.
FANYA UNACHOONA SAHIHI, UTAKACHOVUNA NI JUU YAKO.
Bwana wee eti tusigegede warembo kisa heshima kwenye jamii ambayo jamii yenyewe haina heshima yoyote juu yakoAcha watu waenjoy maisha yao
Wewe(furaha yako) na taswira na jamii kipi bora,kama una nguvu ya kuwala na hujali magonjwa washangaze majirani....wanasema ukitaka kujua uko huru kiasi gan hemu fanya jambo bila kuangalia nini na nani atasemajeHabari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI