Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Unachobisha unakielewa Mkuu, au ndio unajipa moyo kuwa unachofanya ni sahihi?
 
Una hoja usikilizwe
 
Yani nilipe kodi alafu nikapange guest kweli?? Huyo anae nifuatilia aendelee kunifuatilia tu hela nalipa mimi alafu nipangiwe wapi pakupeleka mademu!!
Sababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?

HESHIMA HUWA INAJENGWA, HUWEZI JUA HAO WAPANGAJI UNAOISHI NAO WANAWEZA KUWA MASHEMEJI HUKO MBELENI. WAKAKUKATAA KWASABABU YA HISTORIA YAKO CHAFU.
 
Usipoleta mademu watasema wewe jogoo hawiki au nyoka wa kibisa😂😂😂😂
Kuleta Demu sio inshu, inshu ni kule mademu kama una DANGURO ndani kwako.

Zingatia : BINADAMU HUPANDISHWA NA WATU NA PIA HUSHUSHWA NA WATU WALIOMZUNGUKA.
 
kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha

vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya
 
Ah wee wacha watu wagegede gharama za lodge balaa bwana
 
kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha

vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya
Mbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.

NI LAANA JUU YA LAANA.
 
kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha

vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya
Job true true.
Sasa mbona huko majuaa wana nyanduna na malaya lakini naona vijana wao ndio wanazidi kufanikiwa. E u nielewesheni hapo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…