Acha kuiga mambo yasio na mana kaka

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501

Angalia kwa makini hizi picha , utamjua ! Mtu mmoja alikuwa anataka kumpiga mkwala mzee eddo 😀😀😀😀
 
Push-up unatakiwa upige hadharani sio chubani unaweza jinyea km huko Chato
Magufuli hatanii kwani kazipiga sana hapa mautupora
tofautina Obama au Eddo anayehadithia tu kuwa alikuwa Front-line kumsaka Idd amini
na huyo wa chumbani aache kumania Eddo kwani mamvi mgonjwa jamani
 
weye mzima?
 

Amavubi hapa ni Kibajaji Livingstone Lusinde
ni lazima upige 10 kwanza ndio upewe mic
 
Nashindwa kuestablish relationship kati ya kupiga push up na ubora wa kuongoza.. Politics bana hatare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…