Acha kabisa, hawa wanawake hawa!!

Hiyo mambo ya uswahilini huwa kila siku vifuko tu....!
 
Mmh nahisi utakuwa unajichua yaani. Habo ya sauti tu na kama bado jitazame maana ni zaidi ya miaka 10hutokuwa na uwezo wa kumfurahisha mwanamke yeyote labda uwe na pesa kidogo.
 
wanawake niwatu waajabu sana unakuta unaishi nae unaona unalea watoto ukisema eti watoto niwako kumbe watoto sio wako nikuwa makini sana na hawa wanawake
 
Aina ya wanawake wasiojielewa, KICHOMI TYPE
 
hyo mbinu ilifanikiwa kwa sababu jamaa alikuwa hajausoma mchezo,lakn kama kuna mtu alishamtonya bhas lazma angeshikwa ugoni mtu.ni nzuri hyo teknik,nishaijua swez kufanyiwa lakn ntaitumia just in case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…