Hiyo siyo start up logo, ni bios logo. Hata ukibadili windows ipo tu ila unaweza kui disable na siyo kuiondoa. Kuiondoa ni mpaka kufanya update ya bios na ambayo hizo bios zote za model hiyo zinagoma
Hiyo siyo start up logo, ni bios logo. Hata ukibadili windows ipo tu ila unaweza kui disable na siyo kuiondoa. Kuiondoa ni mpaka kufanya update ya bios na ambayo hizo bios zote za model hiyo zinagoma
Kuna kitu hakipo sawa mahala, pengine labda Alikuwa ni mfanyakazi wa Acer ama ni limited edition hio laptop. Unaweza badili startup logo ya bios pia.
Ume Jaribu kukagua vizuri model ya laptop? Kama kuchukua serial no ama kudownload tool yoyote website ya Acer itakayo detect model? Hii itasaidia pengine model inayonekana nje si sahihi.