ACER portable

ACER portable

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
210
Reaction score
186
*LEO TENA NINA ACER MPYA KABISA SUPER SLIM*

Acer Aspire Slim KABISA
Ram 4Gb
*Hard disk 1000gb = 1TB*
*Latest Processor[emoji1542] @2.25Ghz ( 2CPUs )*
7th Generation PC
*Portable slim PC*
Windows 10 Pro 64 Bit
*Dedicated Graphics Card 1990Mb = 2Gb*
Direct X 12.
7hrs+ battery life.
Full package PC

*Price 560,000/= only
Loc Dodoma tz

0716321462


Mpya imewasili leo pia tuna ACER nyengine 3 kama hii nk
IMG-20181224-WA0022.jpeg
 
Akipigwa mtu asije kulalamika. Huyu ni tapeli,hana lolote!
We fala usinizoee umeshindwa ustaarabu sio tunaaribiana biashara nitatipoti hili kwa Melo mwenyewe maana nisikutukane nikapigwa ban nikaaribu biashara yangu.

Hii Mala ya mwisho we jamaa sipendezwi na mamba yako.
 
Jinsi gani unaweza inviti jina la member kwenye uzi msaada
 
Report tu mkuu...thibitisha kuwa wewe si tapeli,jana nmeangaika kupoteza muda,mtu anatoka kibaigwa kuja mjini...ili aje UDOM kufuata laptop... unapigiwa simu mara unakata...mara useme ngoja ukaangalie dukan...wakati huo huku Forums unasema mzigo unao...ndo nn? Mtu anapoteza muda,vocha kumbe ni ujinga...unatengeneza loopholes za kuwapiga watu
 
Akipigwa mtu asije kulalamika. Huyu ni tapeli,hana lolote!
Naludia tena hili na Mala ya mwisho namba yako ya simu ninayo nitaenda kukuripoti porisi wewe na mwenzio kwa mambo unayoniretea.

Hii mala ya mwisho natoa naeleza kabisa jamaa.
 
Naludia tena hili na Mala ya mwisho namba yako ya simu ninayo nitaenda kukuripoti porisi wewe na mwenzio kwa mambo unayoniretea.

Hii mala ya mwisho natoa naeleza kabisa jamaa.
Kajifunze kwanza Kiswahili ndo ukaripoti huko Polisi. No zangu ni kweli unazo kwa sababu mimi nilikuwa nataka Pc kwel ...kulingana na tangazo lako. Lakin baadae nkagundua unazingua.
 
Report tu mkuu...thibitisha kuwa wewe si tapeli,jana nmeangaika kupoteza muda,mtu anatoka kibaigwa kuja mjini...ili aje UDOM kufuata laptop... unapigiwa simu mara unakata...mara useme ngoja ukaangalie dukan...wakati huo huku Forums unasema mzigo unao...ndo nn? Mtu anapoteza muda,vocha kumbe ni ujinga...unatengeneza loopholes za kuwapiga watu
Hii Mala ya mwisho tutafikishana pabaya jamaa wenichukulie poa, nakusisitiza bro, nilishatumia utu na njia zote za hekima bado unaniona kama mjinga.

Hii mala ya mwisho jamaangu.

Nina viererezo vote vyako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom