Accusations against mobile phone companies shocking

Its a fact which is known,mobilephone companies are abusing the wananchi with the back up of the CCM government, These allegations where once pronounced by a certain Mp ,no measures were taken , the CCm rulers are thieves and robbers
 
Nchi hii hatuna utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari...na sasa hili linakwenda mpaka kwenye corporate entities! Wengi kati ya tunaolalama huku na kule ukituchunguza pia utakuta kuna kodi tunakwepa au tunasaidia ukwepaji wa kodi.

Mfano mdogo tu, sheria ya kodi inasema ni kosa la jinai kutodai risiti/stakabadhi kwa malipo ya manunuzi yoyote yanayozidi shilingi 5,000 (yes, elfu tano!)....wangapi kati yetu tunafa inavyo paswa? Achilia mbali manunuzi tunayafanya kariakoo - baada ya kupewa option ya bei kama ukitaka risiti na kama usipotaka! Hata wafanyakazi, wengi wana vipato vya ziada ambavyo sio mishahara lakini ni wachache sana wanaolipia kodi mapato hayo na wengine hata hawajui kama wanawajibika kama raia kulipa kodi kwa mapato yao yote. Sasa atitude hii ya ukwepaji wa kodi na hata kutokuheshimu sheria ndiyo hiyo inakwenda hata kwenye makampuni (maana nayo yanategemea watu). Watu hawaoni kama kulipa kodi ni wajibu wa kiraia.

Sasa hili la kushindwa au kukwepa kulipa kodi ni upande mmoja. Upande wa pili...hata hicho kidogo kinachokamuliwa kutoka kwa watu wachache kinatumikaje? Kinalisaidia taifa?
 
Kufichama ni bora zaidi kuliko kuchachawa wakati unamkabili mwivi wako. Mh.Makamba fichama.
 
Na wamefanya kila wanaloweza ikiwemo kuwanunua wanasiasa tuliowaamini sana kuhakisha TTCL inabaki imedumaa. Utasikia leo Salim yupo kwenye bodi, kesho Msekwa ili mradi TTCL liendelee kuhujumiwa, kwani likiamka itakuwa mashaka makubwa kwa hawa wezi.
 
And the stakeholders in these companies are the Lowasas, the Rostams... What can you expect from these thugs!
 
Let`s wait and see his next step in order to deal with this problem...in my opinion this is daylight robbery.

He will do nothing, remember he have a self interest in this sector.His sister is currently working under this industry.

 
A company under his ministry and he writes a commentary in the newspaper, is that perform his duties. What is it that he wants to achieve?

Publicity stint?

For what reason?

He is supposed to Learn from other ministers like Mwakyembe
 
Celltel after 3 years changed to ZAIN, after 3 year ZAIN changed to Airtel. Mobitel went to Buzz and buzz went to Tigo.
What do we learn here???
 
He has acted by publishing the same in the newspaper. Actually he has failed us he was supposed to do more than that.

Intereted publication, we are waiting for real nationalism to be shown by Mr. Makamba
 
A company under his ministry and he writes a commentary in the newspaper, is that perform his duties. What is it that he wants to achieve?

Publicity stint?

For what reason?

he is acting like toothless dog,the mobile companies falls under his docket,what is he waiting for?
I dont think writing articles in news papers will help solve this day time robber,mr duputy minister act now.
 
Wizi mkubwa, hii nchi ni uwanja wa kujifunzia kuiba hadharani. Naamini waziri mhusika atalishughulikia hili swala.

Kulikuwa na ulazima gani ku quote post yote ile, mnasumbua watumiaji wa simu..
 
who owns these mobile phones companies? when you get answer you will know why they need not have to pay tax
 


What if he doesnt get the so called Mass support...... Should he let the matter in Vain???? Nope....!!! A minister doesnt need that to fulfill his/her Duties...The problem is Most of our Leaders are too Political....BIG Mouthed and too Keyboard masters with less or No Actions.... In short what he did was Stupid.... he would be brave if he would come out with the article of his Actions as far as the matter is Concern!!!!
 
BAK, I am at a loss. Why the hell should he publish the revelation in the newspaper?

Has he forgotten that he is the deputy Minister?

Or maybe he doesnt know the scope of his duties.

The minister is appealing to the general public and possibly members of parliament. Surely he would have weighed the many options that he could use to expose this scandal. He cannot say it to his boss and other people above him because this has been happening for a long time and no one seems to care because some of them are owners of these companies.

Lets wait and see what will happen in the parliament.
 
Tanzania ni nchi ya wahuni, inayoendeshwa kihuni, so its not amazing kuona madudu kama haya. Wewe unafikiri akina wasira wanalalamika bure? Infact wanapiga kelele kutetea huu ulaji wa bwerere ambao hawautolei jasho. I hate these wassiras and the likes.
 

Unajua ni rahisi sana kumkosoa Makamba kwa hatua yake, lakini alichokifanya ni sahihi kumbukeni hizi ni pesa, waliokimbia kulipa kodi wangewezamfanyia lolote kama angefuata hatua stahiki. Wazungu wana msemo wa whistle blowing na ndicho alichokifanya, mimi namsifu.
 
Nafikiri Makamba Jr hajafanya lolote hapo la maana...Kwasababu yeye ni mtendaji alitakiwa kuchukua hatua na sio kushtaki wizi huo kwa uma wa watanzania. Au hana mahali pa kushtaki? Kama mtendaji anatakiwa kuchukua hatua... au anataka kutuambia kwamba ameongea na vyombo husika (waziri Prof Mbarawa, TRA) wakamtosa sasa ndio ameamua kuandika gazetini?
 

He would look even more stupid if he pronounces the actions he is going to take and then he is stopped in the tracks by his bosses. Let the Tanzanians hear again and again about this theft. the more he/we shout about it the better. Somebody somewhere will be bothered, not him, but his bosses. They will either sack the deputy minister, explain to us what is happening, or make these thieves pay what is due to Tanzanians.
 
And what do you expect if the big shots are the shareholders. But what I believe this will come to an end, and justice will take its own course.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…