Accounts assistant-1

ANTA

Member
Nov 20, 2011
66
7
ANAHITAJIKA ACCOUNTS ASSISTANT.
SIFA:
AWE NA CERTIFICATE YA ACCOUNTS/RELATED FIELD (MOST PREFERED),
ALIYEFAULU KUANZIA C NA ZAIDI KTK HESABU-FORM FOUR ATAPEWA KIPAU MBELE.
AWE TAYARI KUFANYA KAZI KATI YA KIBAHA/CHALINZE/BAGAMOYO/DSM KULINGANA NA ATAKAVYOPANGIWA KITUO.
ANAWEZA KUWA FORM SIX ALIYESOMA ECA. LAKINI ALIYE TAYARI KUFUNDISHWA NA KUFANYA KAZI NA SIO TEMPLE.
UMRI USIWE ZAIDI YA MIAKA 26.
KAZI NI FULL TIME NA AWE TAYARI KUHAMIA KITUO CHA KAZI NA KUANZA KAZI MARA MOJA.

HIZO NI BAADHI TU YA SIFA NA MAELEZO, ALIYE TAYARI NA ANA SIFA HIZI ANITUMIE INTEREST ZAKE

KUPITIA alhhope@yahoo.com na nitampatia maelezo zaidi ya organization na details za kufanya applications husika na kupata simu ya mhusika ili nimpe maelekezo. SIO LAZIMA KWAMBA NITACONTACT NA WATU WOTE WATAKAOAPPLY


NB; Usianze kutuma scanning za vyeti vyako katika mtandao, tuma CV yako kwanza (security issue).
Hakikisha unatembelea net kila siku kupata feedback mara baada ya kutuma sifa zako.

Short listed lazima wafanyiwe interview.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom