Tafuta yenye bei kubwaHabari wakuu wa forum hii?
Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole pole accounting package n software. Ndiyo inayotumika TRA kw sasa.
Pole pole accounting package n software. Ndiyo inayotumika TRA kwa sasa.
kuna vitu kadhaa vya kutambua aina gani itakayo kufaa: 1.turnover yako 2: Kama kuna branches na ni ngapi 3. watumiaji wangapi kwa pamoja 4.aina ya biashara n.kHabari wakuu wa forum hii?
Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
Tumia Microsoft Navision mzee iko bomba sanaHabari wakuu wa forum hii?
Naomba msaada ni Accounting Package ipi itanisaidia zaidi ya nyingine kwa kampuni kubwa?
Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.kuna vitu kadhaa vya kutambua aina gani itakayo kufaa: 1.turnover yako 2: Kama kuna branches na ni ngapi 3. watumiaji wangapi kwa pamoja 4.aina ya biashara n.k
Kama ni mjasiriamali turnover ya below 1 billion annually go for QUICKBOOK
Yani unafanya Bishara ya 30 Bn af unakuja kuokoteza Vi software huku. Why not hire Accounting Consultant.Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
Upuuzi wa hali ya juu sanaWengne wametumwa jombaa..
Naona umeamua kuwa Mtu wa katiTumia Epicor. Ndo accounting system inayotumika na wizara zote na mashirika ya serikali kama TRA, EWURA, SUMATRA, TANROADS, TPA na kadhalika.
Kama unahitaji, nicheki nikuunganishe na mtu wa hiyo kitu atleast ujue features na yeye ajue requirements zako.
Sasa ulitaka nifanye nini? Nimwambie tu kuna accounting package inaitwa Epicor bila kumpa connection na wakati nafahamu wanao provide hiyo package?Naona umeamua kuwa Mtu wa kati
Sawa Dalali msomiSasa ulitaka nifanye nini? Nimwambie tu kuna accounting package inaitwa Epicor bila kumpa connection na wakati nafahamu wanao provide hiyo package?
Kama umekosa cha kuchangia nyamaza, siyo lazima.
Haupo serious wewe biashara ya 30bil? Haujui mtumie package gani ? Mi nilikua na biashara ya laki 5 tu nilikua natumia tally hadi wananishangaaAsante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.
Ni vile watu wengi hawajui kabisa ujasriamali na mazingira yake hasa km TZ, hutapata accounting consultant Tanzania atakae tibu shida za biashara yako. wengu wataiimba ile theory ya darasani na vitabuni, pia ni vema kujua kwamba entrepreneurship ni taaluma TOFAUTI sana accounting or kwa accountant n.kYani unafanya Bishara ya 30 Bn af unakuja kuokoteza Vi software huku. Why not hire Accounting Consultant.
Yani Waswahili ni waswahili tuu mika 100000
Hongera sana, kwa uzoefu wangu nitajitahidi kukusaidi, wapuuze hao wanaokutolea vimaneno hapo hayupo mjasriamali na sihitaji chochote kwako.Asante mkuu. Kwanza turnover ni around 30 Billion per annum. Kuna branches 5. Ambayo inatakiwa kuwa integrated at the same time.