Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 517
- 3,191
Hivyo ni mwendo wa mtafutano tu sio!!!Huu mtafutano
Watu wanatafuta kazi hawapati, mwenye kazi ukimtafuta mtu haupati.🙄
Kila la kheri zao
😃Kaka
Najua kaka, itumie katiba hata hapa😂😂😃Kaka
Ndiyo mkuuu nnayo, ahsante kwa mentionfinancial services si huwa una cpa?
BaridaNdiyo mkuuu nnayo, ahsante kwa mention
Sina CPA T mkuu 💔Monetary doctor, Razorblade, Thecoder Selikavu[/USER], dosho12, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
Sio mbaya, heshima kwako pia ewe makamu wa chama Cha ma jobless pro max.Sina CPA T mkuu 💔
Heshima yako muheshimiwa Raisi wa chama Cha majobless pro max
Shukrani kwa wito mkuu.Monetary doctor, Razorblade, Thecoder Selikavu[/USER], dosho12, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal
Mimi sio mkuu, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.Shukrani kwa wito mkuu.
Wewe ni mkuu wangu(rais) kwenye chama ila nimestaajabu kuitwa kwenye uzi wa kazi 😂Mimi sio mkuu, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
Shukrani mkuu✊Monetary doctor, Razorblade, Thecoder Selikavu[/USER], dosho12, Edo kissy, BLACKTIGER, Smooth Criminal