hassan amir msuya
Member
- Nov 20, 2016
- 39
- 4
- Thread starter
-
- #21
okHaving pursued BCOM, you can specialize in accounting, or finance or marketing, or general management, or procurement etc. So it all depends on the structure of that program at a particular university. E.g. the bcom offered at udsm might not be necessarily the same as that one offered by say udom. There might be some slight differences.
BCOM ni bachelor of commerce, so ni mambo ya biashara, ila kama wenzangu walivyosema hapo juu kuwa bcom imegawanyika kwenye nyanja nyingi kama vile bcom financethanks bro. but nina swali tena .Eti ukisomea BCOM unakua nan hapo baadae
Na mie nilisemaga hivyo ila achana na swala la kuona pesa nduguuuhahaaha jela huko hapana cha msingi ni kuwa displine ki-utendaji kazi
thanks bro l got youBCOM ni bachelor of commerce, so ni mambo ya biashara, ila kama wenzangu walivyosema hapo juu kuwa bcom imegawanyika kwenye nyanja nyingi kama vile bcom finance
, accounting, management marketing, enterpreneur ship na kadhalika. Na pia ujue bcom ya chuo kimoja mathalan udsm mtaala na content yake ni tofauti na vyuo vingine kama mzumbe, saut na vinginevyo. So kwanza inavidi wewe uwe na malengo ya kutaka kuwa nani ukimaliza chuo kisha unasoma koz itakayokufikisha kwenye lengo au malengo yako. Mfano mimi nilipenda kuwa mfanyabiashara so nikachagua koz ya business administration, kuhusu kumajor accounting niliona kuwa ukibobea kwenye accounting kaz zake ni nyingi zaid kuliko major zingine kama marketing, management, human resources au enterpreneurship. So have a plan, stick to your plan, focus and work hard kijana...
hahaahaha we unitakii mema .they say aim high to get highpia unaweza kwenda kusoma degree ya education ukawa mwalimu wa math au geog
kwa mfano ukachukua HGE kwa sasa, na unataka kusomea BCOM baadae je ni sawa tu?Najuta sikukaza math wakati wa O level, nilitaka niwe mchumi baadae...nikajaribu kuforce kusomea economics , chuoni nikashauriwa kama nataka nisome uchumi nichanganye na Geography.. Moja iwe major...nyingine minor basi nikafanya ivyo...so economics sikutakiwa kusoma sub subject zote ila core kadhaa na elective kadhaa...nikichanganya na Geography core units na elective kadhaa ikawa BA gen.
Lengo ilikuwa BA economics...but yalishapita bora sasa weww unauliza mapema.
Fuata maelekezo hapo juu
ok but BAM si itanisaidiaAccount ni eca na uchumi ni egm ....ila haimaanishi hge hawezi hizo field .....uchumi wa chuo una hesabu aiseeeh ....