ACCOUNTANT ANAHITAJIKA

ACCOUNTANT ANAHITAJIKA

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
653
Awe na Advanced Diploma au zaidi na awe computer literate; awe na uwezo wa kutumia accounting packages kama Tally, Myob, nk. kwa ajili ya duka la jumla na rejareja hapa Dar. Mshahara ni makubaliano ila sio chini ya viwango vya serikali kwa kada husika- ubunifu katika matumizi ya computer ni sifa ya ziada kwa malipo ya juu. Kwa anayehitaji njoo PM au 0754 84 33 88 siku za kazi
 
me nna uzoefu wa mambo ya tally lakini sijasoma accountant labda mnifanyie training
 
Maelezo nimeyaelewa, ila mimi naomba niwe muuza duka tu jamani.
sina Diploma ila nina ufanisi kwenye kada hiyo (Shop Keeping).
if possible....
It is a Pharmacy you will also need to be a pharmacist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom