Account ya TTCL twitter yadukuliwa

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,391


baadhi ya tweet zilitumwa na wadukuzi zipo chini

 
Hopeless hawaoni hata aibu kukiri Ujinga, tovuti nyingi za UMMA hazipo secured. It comes a time when it will cost us massively
 
Hopeless hawaoni hata aibu kukiri Ujinga, tovuti nyingi za UMMA hazipo secured. It comes a time when it will cost us massively
Twitter sio tovuti ya Umma boss. Ni huduma wanayokupa utumie ila ni mali yao. Nadhani kuna mahali walikosea jamaa wakapata access wakafanya waliyofanya.

Changamoto hii ni kubwa duniani ndio maana inahitaji security audit kila mara kwenye mifumo mbalimbali!
 
Kuhack account ya Twitter ya TTCL ni sawa na kuiba bahasha ukadhani ina pesa alafu unakuta haina pesa bali ina barua ya msiba
Nakubaliana na ww ila niwapongeze vijana hiyo inaonesha ni jinsi gani wana IT wetu walivyoiva na pia wametoa funzo kwa mitandao ya kijamii waongeze ulinzi.
Ndiyo maana kwa sasa ili kuzuia wezi na majambazi tunatumia milango ya chuma pamoja na madirisha japo wanaweza kukuvizia lkn uhakika ni mdogo sana.
N.B
Hackers waache kudukua sasa, waelekeze nguvu ktk kusukuma kurudumu la teknolojia ili kurahisisha maisha.
Wangetuonyesha njia ya kutumia internet bure na kupiga simu na kutuma sms ingekuwa bora sana. Watengeneze hata voucher calculator ili turahisishe maishe teh teh
 
Wangewawajibisha kwanza hao wataalamu wao wa TEHAMA maana ni uzembe uliopitiliza kwa shirika ambalo data kubwa za kitaifa zinapitia huko.
 
Account ya Twitter ya mkulu Siku hizi hawaidukui maana inalindwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…