Account ya TCU

Account ya TCU

R100

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
337
Reaction score
81
Naombeni mnisaidie kwa hili je account yangu ya tcu baada ya kuchagua vyuo hamna sehemu pa kucomfirm au ndio naacha vilevile naombeni msaada mimi bado mgeni kwa haya mambo.
 
  • Thanks
Reactions: SJB
sio wewe tu hata mimi nimeshangaa nishaselect program but sio sehemu ya kuonesha kua tayari,yan just muda wowote unaweza uka edit.
but kilichonipa moyo n ukisha print huwez edit,hata ukiedit itakua n nothing japokua editing n optional
 
ww chagua course then nenda kwenye print reference toa ile form kama unataka mara zote tcu huwa hamna ku confirm unaacha tu vile vile
 
Mbona mkuu nikiingia pale kwenye profile linakuja jina tofauti na la kwangu pamoja na number ya form four msaada kwa anayejua
 
wakati wa ku-edit utafika kuweni na subira kitu cha msingi mutembelee kwenye Account yako Mara kwa Mara.
 
wakati wa ku-edit utafika kuweni na subira kitu cha msingi mutembelee kwenye Account yako Mara kwa Mara.
Sijakuelewa mkuu inamana hapo tatizo litakuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom