Account ya Millard Ayo Twitter yafutwa

Hii ina maana gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hizi tovuti kama twitter au hata JF ambapo watumiaji ndiyo wachapisha habari (user generated content sites), mara nyingi watu hujiwekea vitu kama picha na video ambazo zinaweza kuwa na hatimiliki. Sasa kama mmiliki akilalamika kwa wenye tovuti, wao kuogopa kushtakiwa huwa wanafunga akaunti. Kwahiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo au la.
 
Reactions: SDG
Asante kamanda, nadhani hii yaweza kuwa sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG
Polepole alisema kabla na alimuambia milard kamaataendelea watamblock


Swissme
Kwani Millard aliwafanya nini mkuu?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
unafungia account wakati watu mawazo yameishabadilika , hayo yanayopatikana kwa account ni dalili tu. wazifungulie tu maaan wataanzisha nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…