gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Hapo kosa la Mange au Millard Ayo? Lakini kama shabiki wa Lady jaydee nasema afungiwe tu maana ugomvi wa Jide na clouds kijana kuvalia dera anaruka habari za Jide
Hii ina maana gani mkuu?Inawezekan ni mambo ya copyright infringement.
Kwenye hizi tovuti kama twitter au hata JF ambapo watumiaji ndiyo wachapisha habari (user generated content sites), mara nyingi watu hujiwekea vitu kama picha na video ambazo zinaweza kuwa na hatimiliki. Sasa kama mmiliki akilalamika kwa wenye tovuti, wao kuogopa kushtakiwa huwa wanafunga akaunti. Kwahiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo au la.
Asante kamanda, nadhani hii yaweza kuwa sababuKwenye hizi tovuti kama twitter au hata JF ambapo watumiaji ndiyo wachapisha habari (user generated content sites), mara nyingi watu hujiwekea vitu kama picha na video ambazo zinaweza kuwa na hatimiliki. Sasa kama mmiliki akilalamika kwa wenye tovuti, wao kuogopa kushtakiwa huwa wanafunga akaunti. Kwahiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo au la.
Kwani Millard aliwafanya nini mkuu?Polepole alisema kabla na alimuambia milard kamaataendelea watamblock
Swissme
Chuki binafsi!
sijaelewa kwa sababu sina elimu...............Hongera kwa kuelimika