imekuwaje wengine hatuna habariKama mlivyosikia ile account ya Malisa GJ kule facebook ndivyo hivyo.
Tusichezee mamlaka jamani.
Lakini kwa kuwa yuko pia humu JF hakuna shida.
Ni muuza ubuyu mmoja hvNdio nani???page yake inajihusisha na nini?
Ndio nani???page yake inajihusisha na nini?
Huwezi kusifiwa na kila mtuJamaa haoni raha bila kuiponda serikali
Huwezi kusifiwa na kila mtu
Ova
Jamani JK tena?Aisee JK Mungu anakuona.
NdiyoJamani JK tena?
Mm nilidhani ni Jiwe ndo kafanya yakeNdiyo
JK si ndio katuachia hili jiwe?Mm nilidhani ni Jiwe ndo kafanya yake