Account statement TANESCO

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,187
2,464
Wakuu heshima kwenu,naomba mnisaidie je kama mimi ni mpangaji naweza kufika TANESCO nikaomba kupewa taarifa ya matumizi ya mita ya LUKU ya mwezi husika?,Naomba kufahamishwa tafadhali.
 
Soma no ya meter uandike kwenye karatasi uende naye uwaeleze tatizo lako watakusaidia.
 
Back
Top Bottom