burudani kabisa
nimefurahia sana darasa hili......surely sikufanya research yangu ya kutosha kabila sijaamua kufungua $$ account. Ngoja nikafunge zangu za NBC na CRDB kumbe wananiibia aisee.......
I must admit nimevutika na Exim Bank, only that naona kila wakati bank hubadili sera zao ambazo sisi wateja inabidi kukubaliana nao no matter what...
But EXIM is good!