Elabry Member Joined Oct 25, 2015 Posts 42 Reaction score 15 Nov 6, 2015 #1 Habari zenu waungwana, nahitaji kujua utofauti kati ya degree ya account na CPA. Na Je? Mwenye degree ya account with CPA na yule Mwenye degree ya kodi with CPA yupi ni marketable zaid? Ushauri wako una thamani kwangu.
Habari zenu waungwana, nahitaji kujua utofauti kati ya degree ya account na CPA. Na Je? Mwenye degree ya account with CPA na yule Mwenye degree ya kodi with CPA yupi ni marketable zaid? Ushauri wako una thamani kwangu.