Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 938
- 1,819
kua maneja? naomba unifafanulie vizur brohujui ukisemacho....na hio ndio tofauti ya udsm na mzumbe,mtu anayesoma b com accounting hafundishwi kwenda kuwa muhasibu bali anafundishwa kwenda kuwa manager ,na hapo nazungumzia kwenda kufanya maamuzi katika taasisi so kusema eti ukisoma accounting utakuuwa muhasibu na utakosa soko la ajira kwa kuwa vitu viko computerized ni uongo kwan maamuzi ni pale kurecord kufanya analysis na ku take action na sio ku record tu transaction
bro umesoma chuo gan?BAF mi nilisoma.
Accounting
1.Accounting 1
2.Accounting 2
3. Accounting 3
4.Accounting 4
5. Management accounting
6. Cooperative Accounting
Finance
1.Financial management
2.cooperate finance
3. Public Finance
4. Tax
5 .Audit
6. Cooperative Audit
7. International finance
8.
AIA awatoiMOCU, Mzumbe, Ardhi, AIA hizo public ni nzuri sana
Hukuna kitu kinachoitwa B. Com AccountMimi nilisoma Economics.. ila i sense kwamba ukisoma Account utakuwa unamzidi sana mtu aliyesoma Finance. So achana na Finance, soma B.Com Account
Sorry kwa makwazo.. its B.Com Accounting right?Hukuna kitu kinachoitwa B. Com Accountitendee haki mkuu
Aliyesoma Finance huanzia Foundation Stage ya NBAA. Usimpotoshe dogo Letu. Accounting huanzia Intermediate Stagekaka kwa ushauri wangu fanya finance. Ina advantage sana kama utaamua kuchukua CPA baadae utakuwa unaonekana umesoma vitu tofauti tofauti zaidi ya yule wa accounts. Na pia usitishike kwamba utakuwa nyuma sana wakati wa kuchukua CPA mtatofautiana masomo mawili tu na mtu wa accounts. Pia finance inakupa wigo wa kufanya kazi za kifedha na ki uhasibu pia.
Mbona almost course zinafanana na zile nilizosoma udsm bcom accounting...sema Huku ndani Huku kuna kusoma marketing,HR,na hata finance tunaisoma kila mwka japo kuwa tupo bcom accounting..na hata hyo international finance tumepigaBAF mi nilisoma.
Accounting
1.Accounting 1
2.Accounting 2
3. Accounting 3
4.Accounting 4
5. Management accounting
6. Cooperative Accounting
Finance
1.Financial management
2.cooperate finance
3. Public Finance
4. Tax
5 .Audit
6. Cooperative Audit
7. International finance
8.
Aliyekwambia mtu aliyesoma finance Ana advantage kubwa kwenye CPA zaidi ya Yule wana accounting ni nani? Afu muomba ushauri hajasema finance kasema bcom finance and accounting verses accounting nyie mnaleta mambo ya finance tu hapakaka kwa ushauri wangu fanya finance. Ina advantage sana kama utaamua kuchukua CPA baadae utakuwa unaonekana umesoma vitu tofauti tofauti zaidi ya yule wa accounts. Na pia usitishike kwamba utakuwa nyuma sana wakati wa kuchukua CPA mtatofautiana masomo mawili tu na mtu wa accounts. Pia finance inakupa wigo wa kufanya kazi za kifedha na ki uhasibu pia.