kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,166
Kuna mafalla wamezeeka kumbe🤣🤣🤣Eti kiba100 changu hakimfikishi popote, so embarrassing 😳
Hahaha, hatuzeeki mkuu. Unafedheheshwa kimaumbile ili kama ni kuumia uzidi kuumia!Kuna mafalla wamezeeka kumbe🤣🤣🤣
Ya kweli hayo? 😂😂Hahaha, hatuzeeki mkuu. Unafedheheshwa kimaumbile ili kama ni kuumia uzidi kuumia!
Huyu alikuchoka, ama alipata mwingine bora kuliko wewe.Good morning watu wa Mungu.
Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.
Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi,nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua nini katika yale mahusiano yetu?akanijibu eti aliona kuna jam kubwa sana ya wanawake wanaonitaka hivyo akaona isiwe kesi ngoja awaachie na wengine wafaidi.
So ebu kila mmoja wetu aweke wazi hapa tatizo lake kubwa ambalo ex wake anasema alikua nalo.
Nasikia wanawake Wachagga mna tuhuma za kuuwa wanaumeCz am a chagga girl and he( kurya boy)
Wana moyo sana Hao binafs ukinikosesha amani hisia zinapotea kabisa siweziMimi huwa siachwi,naacha softly kwa kutopokea simu Wala meseji sijibu. Siku nikimmiss napiga sound mbili tatu tunapasha kiporo.
Kifupi sina ex,Nina wapenzi walio pending.