Platov agnt
Member
- Nov 22, 2018
- 82
- 50
Nakuelewa sana chief
Hata hayo uliyoandika ni mauza uza mkuu.Ndugu yako anaugua,unamuona kabisa akitoa roho,unakwenda kumzika,halafu unasema kifo ni illusion.Funny,isn't it.Hapana,come back to normality,hizo ni theories za kipepo na mafundisho ya mashetani.Kifo ni real.Katika pita pita zangu za hapa na pale katika kujifunza mambo mapya hasa kuhusu kifo nimekutana na mtazamo huu kuwa kifo ni mauzauza tu ya akili yetu, kifo hakipo. Na watu wanaoshikilia msimamo huu wanatumia nadharia ya 'biocentrism' kuthibitisha maoni hayo. Nimesoma sana na kuangalia video nyingi kuhusu hiyo ishu lakini naona sielewi elewi bado. Kwa yeyote anayeifahamu vizuri hebu atuelezee hapa.
Natanguliza shukrani.
zitto junior Life coded Da'Vinci Eiyer