Na mungu watu wanayesema tukifa tunaenda mbinguni,
kupitia milango ya dhahabu penye mito itiririkayo,
na mungu watu wasemaye tukifa tunapaa hewani,
yaani kama kunguru, mwewe, njiwa, tai na korongo,
inawezekana, pengine ni kweli,
mimi sijui, sitaki sema uongo.