Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini nilipitia viwanja nikajisahau kumwambia hadi nilipo rudi saa tisa usiku,mwenzangu alinichunia tu na wala hakuonesha kukasirika ila tangu siku hiyo nanyimwa live tena saa ya kulala huwa anjipigilia nguo za kutosha. Sina shida sana na ile kitu kwani nina uhakika wa kupata hata kila siku ila najisikia kudhalilishwa kijinsia kulala na mtoto wa kike bila ku access ile kitu.
I like this one (avatar) i hope when you decide to change it you will still put a nice one.thanks dear.For u I will, na isipokupendeza just say nitabadili mpaka wewe urizike, una msimamo mzuri sana.....nimeupenda.
Mkubwa kwanza huyo ni mke wako au ni demu tu unaishi nae ila una mpango nae??Kama ni mke basi kaa nae chini muyamalize na kama sio mke basi usibembeleze hiyo kitu...Mbona zipo nyingi sana??
si mke wangu kisheria ila ni mtu mwenye akili timamu ambaye tumekubaliana kwa hiari zetu kukaa pamoja, issue sio kupata ile kitu issue ni kulala pamoja halafu asinipe, unajua hata ukipata nje huwa inatunza heshima ya kiume kutimiza jukumu lako la asili kitandani.Anachoniumiza ni hiyo kutaka kuninyanyasa kisaikolojia.
Walah, ningekuwa ni mimi ningemtafuata rafiki yako kipenzi na kufanya nae the same thing ili ufeel na wewe.
don be too sure kwamba hatakuja kujua, i am sure atajua tu one day, si unajua wanawake tulivyo ipos siku shoga mmoja atamwambia mwenie n within no time bibie atakuwa na info zote.
Yani kwa ufupi sio ustaarabu kabisaaaa,sana sana unajichoresha tu yani kila rafiki wa mkeo anakujua kuanzia dudu yako ilivyo unavyolia ukiwa unapewa mambo, yani you are nude mbele yao na wanakuienjoy na kumdharau mkeo. if you love her you wouldnt be exposing her to such situation, atasema nini mbele ya wenzie na wakati wanamjua mumwewe kila kona? i wish angekunyima for the rest of her life seriously!
Mimi sina shida anafanya na nani akiweza amfuate hata baba yangu shida ni mimi kujua as long as sijui najua ananipenda na hataki nipate mateso ya moyo.
Nadhani hata akija kujua ata apreciate jinsi nilivyotunza heshima yake na kufanya kwa usiri mkubwa sana. Nakuhakikishia binti mwanaume wa peke yako hayupo kabisa hapa duniani labda uolewe na ******. Kinachotutofautisha ni jinsi tunavyoweza kutunza siri na kufanya kwa heshima.
Yaani kwa umri wa hao rafiki zake hata nisinge do nao lazima wanayafahamu maumbile ya mwanaume, hawahitaji hata ku do na mimi ndio wajue jinsi nilivyo. Laiti ungekuwa ni mmoja wa hao marafiki zake nilio wa do, ungejua thamani ya kitu anachokimiliki hivyo usingeweza kumdharau kamwe bali lazima ungemheshimu kwa kuweza kuniweka ndani. Iwapo akininyima for the rest of her life wala haitakuwa shida sana, shida ni sasa ambapo ananiringishia yaani imagine analala uchi kitandani na still ananinyima huko kwangu ni kuninyanyasa kijinsia. Nasisitiza issue sio kukosa ile huduma issue ni kudhalilisha uanamume wangu.
Binamu ina maana hata usiku wa kuamkia leo umelala njaa?
mhhh kazi ipo, yaani kweli unadhubutu kujicfu kwamba umelala an ma frnd wa huyo cjui mke/galfrnd wako? unajicfu kabisa na unaona ndio uanaume huo?....Lord have mercy! halafu comment nyingine huwezi kuamini kama zinatoka kwa watu wenye familia huko manyumbani, wanaitwa baba na wana wake zao, inackitisha sana....mie ndio mana naharibugi kabisa kabisa mana wanaume baba yao na mama yao ni 1.
Tena kama vile alikuja kupitia hapa jamvini maana visa alivyonifanyia usiku ni hatari tupu, bado asubuhi kaja kuoga na mimi bafuni huku akileta habari za kunisugua anataka hata kuosha ile kitu, hawa wanawake mpwa we waache tu kuna kitu wanamiliki kina power zaidi ya atomic bomb.
Hapo chacha! Chi ungemelijhia kila kitu mumomumo kwa bafu? Tayari zishamshuka huyo, leo usiku atakupakulia chakula cha usiku. Hahaha mpwa bana!
Hivi kujisifu ni nini? Nadhani wanawake mngekuwa upande wangu kwa maana nimekuwa man INAF hata kuadmit tu, mngejua hao wanaume wenu wote wanapiga mechi za nje tena hata zaidi yangu ila kwakuwa wanawapenda sana nyinyi hawawezi kuwaonesha. Na hao wanaume wanaojifanya ma saint ndio vimeo kupindukia, cha msingi ni kuendelea kutunza siri.
Mpwa huyu shemeji yako lengo lake ni kuhakikisha ananitesa vilivyo, nadhani hawezi kutoa vitu leo hadi ajiridhishe nime suffer to the maximum, na mimi najaribu kumueleza kila siku haya mateso yanaweza hata kuniua, ni bora mtu akufanyie kitu kingine si kuchezea uanamume wako.
Wandugu mwenzenu nina situation, mpenzi wangu wa moyo ameanzisha mgomo baridi toka last week saturday. Kifupi access yangu kwenye ile starehe yetu amei deny. Kisa ni kuwa nilipotoka ijumaa kazini nilipitia viwanja nikajisahau kumwambia hadi nilipo rudi saa tisa usiku,mwenzangu alinichunia tu na wala hakuonesha kukasirika ila tangu siku hiyo nanyimwa live tena saa ya kulala huwa anjipigilia nguo za kutosha. Sina shida sana na ile kitu kwani nina uhakika wa kupata hata kila siku ila najisikia kudhalilishwa kijinsia kulala na mtoto wa kike bila ku access ile kitu.
Mitaa ya kati ninapooza mpwa ila unajua kulala kitanda kimoja na mtoto wa kike halafu usimpatie ile kitu inakera. Nilifikiria kumchunia lakini nimegundua nikimwacha atanikamata mchezo wangu wa kupitia mashoga zake.
Pole Burn kwa kunyimwa haki yako ya msingi. mi nadhani anakupa kabreak kidogo upate kummiss na hivi ambavyo ushalileta swala lako hapa jamvini inaonyesha ni jinsi gani ambavyo tayri ushammisss umeishia kulalamika.we subiri kiduchu atakupa tena mpaka uchoke.
hakuna anaebisha hilo, lakini haimaanishi wanatembea na ma frnd zetu, wewe umefanya dharau ya kutosha kabisa kwa huyo mrembo wako halafu unaona kama jambo la kawaida kabisa, umemdharaulisha/dhalilisha kwa frnds zake, c ungechukua wengine bac huko waco karibu na huyio mrembo wako?.......
Hivi nisingekuambia ungejua? au ungenilaumu? the fact that hajui haiwezi kumdhalilisha wala kumuumiza, na hao rafiki zake wanajua jinsi ninavyompenda mpenzi wangu na wanaliheshimu hilo. Unataka kuniambia rafiki zako wanakuheshimu kwa kuwa hawajatembea na mpenzi wako? Mpenzi wangu anaheshima zake na rafiki zake wanamuheshimu kwa hilo hakuna sababu zozote za mimi kuingilia hiyo, hata kama asingekutana na mimi milele bado rafiki zake wangeendelea kumheshimu, kifupi mpenzi wangu anahukumiwa kutokana na matendo yake na tabia zake na si kwa tabia zangu? Halafu ni lini utaondoa akilini kwako hii notion kuwa ku sex ni kitendo kinachovunja heshima?
Mkuu mawasiliano yapo sana tu, ukitukuta tunavyoongea huwezi hisi tunamgogoro, nilikwisha omba msamaha toka day one naona kama amekwisha panga adhabu yangu kabisa sidhani kama maneno yanaweza kumbadilisha.
Ndo umeandika kwa red ili kuweka msistizo? mimi huniambii kitu,. hayo uyafanyayo ni utoto period! Na unavyosema hata alale na baba yako hujali it just capitalize how abnormal you are. i wont be suprised if you can even go to bed with her mother if the chance arises.Mimi sina shida anafanya na nani akiweza amfuate hata baba yangu shida ni mimi kujua as long as sijui najua ananipenda na hataki nipate mateso ya moyo.