Access bank

Aaaaah!!!!access,Loan officer wanaanza na 180,000/= ila baadae huja kuongezeka na kufikia hiyo 350,000/= bt ukianza utaanzia 180,000/=

sidhani kama kuna uhalisia hapo,me nafanya kazi nao kama loan officer na take home nimeanza na 350,000.... na gross salary ni 390,000..
 
Mshahara hapo unaanza na 350,000 bonus integemea ila ukitimiza target ya wateja kwa mwezi na ukiwa wanalipa mkopo wao kwa mda uliopangwa bonus inafika laki na kuendelea...... ila pia makato yapo mengi kama wateja wako wakiwa wasumbufu kulipa kwa kuwa wewe ndo uliwatafuta so unawajibika pia kwa makato wateja wakikimbia au wasipolipa in time...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…