Wadau naomba mnisaidie mshahara wa loan officer na client adivisor access bank
Jiandae kwa stress pia mkuu
ungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sanakuna boss mmoja nilikuwa namwambia anipe loan officer finca alikuwa anaktaa kila siku aliniambia hiyo kazi ni headache unaweza kuvua wigi kama kichaa pia kama una ndoa inaweza kuvunjika maana stress hadi genye zinaisha zenyewe
Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!
majanga hapo ndguWadau naomba mnisaidie mshahara wa loan officer na client adivisor access bank
But sioni mbaya kwa sababu wanaajiri fresh graduates na hiyo inakuwa ni miezi miwili ya Mwanzo....it is like internship....kuna internship hawapewi hata nauli...kama huna kazi ni kazi nzuri....ila kama una kazi sio kazi nzuri.Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!
ungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sana
ha ha hapo siyo tatizo kuja tatizo ni kusubiria position nzuuuri anadai loan officer ni mkanganyikoungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sana
ha ha hapo siyo tatizo kuja tatizo ni kusubiria position nzuuuri anadai loan officer ni mkanganyiko