Wale waliokua wakiibeza hii bank ya access kwasababu wanatoa riba kubwa kwenye fixed account wameumbuka SasaBenki ya Standard Chartered na Access Bank Plc zimefikia makubaliano ya uuzaji wa hisa za Standard Chartered katika kampuni tanzu nchini Angola, Cameroon, Gambia na Sierra Leone, pamoja na Biashara yake ya Wateja, Binafsi na Biashara ya Benki nchini Tanzania, kwa kutegemea idhini ya udhibiti.
Benki ya Access itasimamia shughuli zote katika nchi zilizotajwa, na kuhakikisha uendelevu kwa wafanyakazi na wateja. Mpito huo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 12 ijayo.
Aprili 2022, Standard Chartered ilifanya uamuzi wa kujiondoa katika masoko kadhaa, ikiwa ni pamoja na Lebanon, Angola, Cameroon, Gambia, Sierra Leone, Zimbabwe na Jordan. Benki pia ilipanga kuachana na Biashara ya Wateja Binafs na kupunguza Biashara ya Kibenki nchini Côte d'Ivoire na Tanzania.
Uuzaji wa biashara ya Standard Chartered nchini Zimbabwe ulitangazwa mwezi Juni, na uondoshaji Mtaji kutoka Jordan ulianza mwezi Machi 2023. Kwa makubaliano haya, Standard Chartered inakaribia kukamilisha mchakato wake wa uondoshaji mitaji kwa masoko yaliyotajwa isipokuwa Côte d'Ivoire, ambapo majadiliano na wanunuzi wa mauzo ya biashara ya CPBB yanaendelea.
Mwenye access bank ni bilionea cha ajabu wafanyakazi wake wanalipwa mshahara laki tatu na nusuDuh... Nawahurumia staffs wa Stanchart. Access wana mishahara midogo sana...
Yan graduate analipwa mshahara wa mwalimu wa nursery school.
Wanunuzi ni Access bank plc ya Nigeria, siyo hiyo Micofinance uijuayo weweDuh... Nawahurumia staffs wa Stanchart. Access wana mishahara midogo sana...
Yan graduate analipwa mshahara wa mwalimu wa nursery school.
Mkuu hivi ile bank pale mataa ya kona ya Kinondoni ukiwa unatokea Salender ndio Standard chartered? Nini kimewakuta kwani?Mwenye access bank ni bilionea cha ajabu wafanyakazi wake wanalipwa mshahara laki tatu na nusu
Kwahyo hapa Tanzania watamuuzia Access bank yupi?Wanunuzi ni Access bank plc ya Nigeria, siyo hiyo Micofinance uijuayo wewe View attachment 2688691
[emoji116]Duh... Nawahurumia staffs wa Stanchart. Access wana mishahara midogo sana...
Yan graduate analipwa mshahara wa mwalimu wa nursery school.
We nae jitahidi kuficha ujinga wakoWanunuzi ni Access bank plc ya Nigeria, siyo hiyo Micofinance uijuayo wewe View attachment 2688691
Sawa, nitajitahidi.We nae jitahidi kuficha ujinga wako
Ile ni Stanbic.Mkuu hivi ile bank pale mataa ya kona ya Kinondoni ukiwa unatokea Salender ndio Standard chartered? Nini kimewakuta kwani?
Asante kwa elimuAccess bank haiwezi KUINUNUA Standard Chartered Bank kama kichwa cha uzi kinavyosema.
Std Chtd Bank wame "divest" au kuuza baadhi ya co tanzu zake ikiwa mkakati wa kibiashara.
KUINUNUA Std Chtd Bank ingeitwa "take-over". Mtaji was Std Chtd ni Zaidi ya mara hamsini kimtaji cha Access.
Ile ni stanbicMkuu hivi ile bank pale mataa ya kona ya Kinondoni ukiwa unatokea Salender ndio Standard chartered? Nini kimewakuta kwani?