Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

okellecky

Member
Mar 16, 2013
67
8
Wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.

Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail. Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisa. Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu.

Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani.
 
DAR-MWANZA nauli 35,000 - 45,000/= Inategemeana na bargaining power yako tu pale ubungo bus terminal
pia nakushauri ukate siku hyo hyo ya safari uwahi tu mapema sana hapo UBT.
Lodge ya kawaida utaipata tu hapo hapo tena karibu na Mwanza Secondary unapofanyia usaili ili usipatwe na gharama ya daladala au foleni utaulizia mtaa wa UHURU au Lango lango hapo kuna lodge ya shs 15000 ndo kipimo chako maana usije lala Lodge ya 5000 kisa unajibana ukalizwa vyeti vyako.
Komaa kaza buti mwanajeshi vitani wewe hadi kieleweke mzazi................all the best.
kwahyo ukiwa na 130,000/= unafika mwanza na kurudi.
 
nyegezi vipo vyumba vya buku 5 ,buhongwa mpaka buku 3
 
Ahsante kwa informatin muku, nyegezi/buhongwa maeneo gani mkuu ili hata nikija niwe na direction nzuri hata kwa kuuliza kwa watu? na je hayo maeneo sio mbali na ilipo shule ya mwanza secondary? unapanda daladala ngapi mkuu kufika hapo mwanza secondary?
 
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............

Wewe upo Dar, duh! Mie nipo Dom lakini kwa message niliyoipata sioni kama ntafika na gharama zote hizo! Hafu inaonekana watu watakua wengi sana na nafasi yenyewe sjui ni moja tu.
A%20S%20embarassed.gif

sio mbli sana,daladala 1 hat town unashukia sokn mwanza sec mbele kdogo,
 
Wewe upo Dar, duh! Mie nipo Dom lakini kwa message niliyoipata sioni kama ntafika na gharama zote hizo! Hafu inaonekana watu watakua wengi sana na nafasi yenyewe sjui ni moja tu.
A%20S%20embarassed.gif
A%20S%20embarassed.gif

unaonesha hujiamin pole sana mafanikio mazur yanahtaj upinzan
 
Sio kutojiamini mkuu. Ebu liwaze hili, kwanza mnaenda watu kama 3000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 1500 mnapiga nyingine tena
700 nyingine tena
350 discusion
175 discusiion
75 discussion
30 oral
Bado hauna uhakika kama upo au haupo manake unaeza ukawa kila kitu umepita ila Bongo bhana. Haya, safari wala sijaanza, mie mwenyewe hela ntakazo zitumia ntazikopa daaah!
 
komaa ndugu, hiyo pia ni moja ya interview. ila jaribu kutafuta mtu saut unaweza lala hostel kwa siku hizo.
 
wakuu kuna jamaa yangu mmoja yeye aliitwa kufanya interview dar kutoka mwanza, akajichanga na kuja dar, duu kilichotokea ni kwamba kazi akakosa na nauli kapoteza. kama wewe unajua kuwa nauli ni ngama! chukua maamuzi magumu
 
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............

kama ni mtoto wa kike usiwaze kabisa coz me mwenyew ni mwana panel, ,,,, ni pm upate huduma zote bure hadi nyongeza
 
Sio kutojiamini mkuu. Ebu liwaze hili, kwanza mnaenda watu kama 3000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 1500 mnapiga nyingine tena
700 nyingine tena
350 discusion
175 discusiion
75 discussion
30 oral
Bado hauna uhakika kama upo au haupo manake unaeza ukawa kila kitu umepita ila Bongo bhana. Haya, safari wala sijaanza, mie mwenyewe hela ntakazo zitumia ntazikopa daaah!

Usimkatishe mwenzio tamaa.km wewe huendi..sema siendi na inaonyesha huna shida na kazi...kuna interview isiyokuwa na watu wengi kwa kipindI hiki.?? Hujiamini...sasa kaa nyumbani subiri interview ya watu 10...au kazi itakufata...hakuna jambo rahisi..lazima upigane ndo ufanikiwe.. okellecky we nenda ndugu yangu kataa na kemea pepo la kukata tamaa..na usikubali kukatishwa tamaa na kiumbe yoyote..jichange uende..huwezi jua ndio kazi yako ulopangiwa...huyo anaesema itakuwa na watu kibao who knws km wote watafika.???...I usually stand on wht I believe not wt others believe..just Go
 
Last edited by a moderator:
buku 5 na 3?, unamdanganya mwenzio wewe, maisha ya sasa kwa Guest ya bei hiyo hata kwetu KASULU- KIGOMA ALL STARZ hupati
 
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............

We ni ke au me!? kama ni ke ni pm ni sort out mambo yako ya accomodation na meals ukiwa mwana
 
ndugu yangu jipime uwezo wako, usiingie gharama kubwa kisha bukaja hapa kutukana, mimi nipo niliitwa kwenye interview muleba kagera, nilipowatumia e-mail kuuliza kama kutakuwa na kurudishiwa nauli wakasema hapana, nikawaambia asante, sitaweza kufika, na sina ndugu huko. ila kama una uwezo na unataka kutembea mwanza kwa siku tano, uende mpka kule malaika safari njema. ila jipange sawasawa usije ukajibeba, kurudi ukarudi na lori la ng'ombe.
 
kama ni mtoto wa kike usiwaze kabisa coz me mwenyew ni mwana panel, ,,,, ni pm upate huduma zote bure hadi nyongeza

Jamani watu wengine msipende kufanya utani kwenye mambo serious kama haya. Reading this post, you can easily see, people are fighting kupata Vibarua. And one fellow like you unafanya utani as if...sijui niandike nini.

Jamani, nchi hii ngumu jamani. Ila kuvumilia na kuchapa kazi ndo suluhisho. Wote mnaotafuta ajira, msikate tamaa. Your time will come and I am sure, mtafanikiwa. Its a matter of WHEN not IF.

Angalizo: Watu muache utani kwenye mambo ya msingi kama haya. Its really painful.

Masanja
 
Back
Top Bottom