Siyo siri hawa jamaa wananufaika kwa minada na vitu wanavyokamataa kwa wadaiwa. Vingine wanachukua wenyewe vingine wanaviuza. Jirani yangu alikuwa na deni la laki 3 walibeba meza ya laki 6, friji la 250,000, TV na king'amuzi. Ni kama vile wanaombea watu washindwe kulipa ili wanufaike kwa kuwafilisi.