Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mjinga hana Rangi ya kijani au blue...
Acha kabisa, hawa jamaa walitupata sana nyuma, na wanajuwa 95% ya watanzania hawana imani nawo, kwahiyo kelele zao wanazipiga nje ya nchi, through financial times na economist ambao hawajuwi wizi waliokuwa wanaufanya hapa, kwanza kumbe ndio zao, za kina ndama, papa msofe ndio hawa, na bado...Hii ndiyo maana halisi ya "kimya kimya" unabinya makende ya mwizi kimya kimya hadi mwizi mwenyewe apige kelele ya kuomba msaada! “We’ve gone from a level of around US$320 million [cash] on our balance sheet to … $165 million,” Gordon said.
Go go go Magu!
Ikithibitika kuwa walikuwa wanaongopea juu ya kiasi cha madini yaliyomo kwenye mchanga ( copper concentrates ) nchi haitalipa fidia bali bali italipwa fedha za mapunjo.Tujiandae kulipa fidia
Hahahaha hamna kitu kama hicho! Mkumbuke John Nolan Enzi ya Paul Rupia! Watanzania si wa mchezo haswa wa sasa hivi ambao wako AWAKENED! MAMA TANZANIA SI WA MCHEZO MCHEZO!Tujiandae kulipa fidia
Simmewapa wenyewe ? Sasa wanaibaje
Tujiandae kulipa fidia
So you mean waendelee kuchukua tusiwaulize hata kama tunajuaa there is something wrong? Tunajua tunaibiwa kote kote na kuikabiri hii issue lazima uwe na pa kuanzia jpm kaona aanze na mchanga1. Hawaibi, tumewapa wenyewe kwa makubaliano, hawaibi.
2. Je wewe unadhani wapi tunaibiwa, kwenye mchanga au kwenye dhahabu inayosafishwa mgodini na kisha kuchukuliwa na ndege kwenda ulaya? Yani dhahabu nyingi tunaibiwa wapi, kwenye mchanga au ile pure inayozalishwa moja kwa moja mgodini?
3. Kama acacia wanatuibia kwenye mchanga, je Geita gold mine na North Mara ambao hawasafirishi mchanga hawatuibii?
Yani wizi tuuone kwenye mchanga alafu huko kwingine hatuibiwi?
Alieturoga katuweza.
Wao ndo watatulipa fidia only time will soundTujiandae kulipa fidia
Wewe na huyo lisu wako mtaelewa tu. Mwanasheria gani muoga namna ile, anaogopa kuondoa nyoka aliye ingia ndani kwakeSoo mtamuelewa Lissu.
Naongezea "Sitafukua makaburi" -JPM."Mwanasheria, unaogopa KUSHITAKIWA" - JPM
Ujinga na mpumbavu wa ngosha utatughalimu.Hawa jamaa walifikiria JPM is joking. Report ilitoka wakakimbilia kwenye media zao huko Ulaya kumpiga Mkwara Ngosha. Hawakujua kwamba everything Ngosha is doing is well calculated in advance. Wajiandae kwa dialogue. Huu upuuzi wa kuiba raslimali za waafika kwa kuongea kiingereza kingi na kututisha kuhusu misaada should come to an end. Huo mchanga tuliambiwa ni %ndogo sana ya mapato yao. Leo baada ya kuminywa tunaambiwa mchanga ndo ulikuwa tegemeo la mapato. Na bado mtasema yote tuu.
Ngosha amejitoa sadaka kwa waTanzania (in his voice..)
Usichanganye uoga na kuwa alertWewe na huyo lisu wako mtaelewa tu. Mwanasheria gani muoga namna ile, anaogopa kuondoa nyoka aliye ingia ndani kwake
Wameiba au walisaini mikataba mkaridhia??Hawa jamaa walifikiria JPM is joking. Report ilitoka wakakimbilia kwenye media zao huko Ulaya kumpiga Mkwara Ngosha. Hawakujua kwamba everything Ngosha is doing is well calculated in advance. Wajiandae kwa dialogue. Huu upuuzi wa kuiba raslimali za waafika kwa kuongea kiingereza kingi na kututisha kuhusu misaada should come to an end. Huo mchanga tuliambiwa ni %ndogo sana ya mapato yao. Leo baada ya kuminywa tunaambiwa mchanga ndo ulikuwa tegemeo la mapato. Na bado mtasema yote tuu.
Ngosha amejitoa sadaka kwa waTanzania (in his voice..)
Resolute walichimba dhahabu Nzega, walikua hawasafirishi mchanga, wakamaliza dhahabu yote Nzega na wakaondoka, je walituibia au hawakutuibia?So you mean waendelee kuchukua tusiwaulize hata kama tunajuaa there is something wrong? Tunajua tunaibiwa kote kote na kuikabiri hii issue lazima uwe na pa kuanzia jpm kaona aanze na mchanga
Jambi ndo mdudu gani?Mkuu andika kwa kiswahili,watu wanapita tu wakati kuna jambi serious linalohitaji mjadala!
Wameweka wazi kuwa hasara kubwa inapatikana kwenye "HISA"Hahaha hii ni ishara kwamba watatudai fidia