ACACIA's CEO, Brad Gordon: Tanzania nayo itaumia isiposuluhisha mgogoro wa madini wiki inayokuja

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
2234102-1-eng-GB_acacia.jpg

Katika giza: Acacia bado hawajapokea ripoti hiyo inayodai inaiibia Tanzania

Acacia bado haijaweza kutengeneza kesi yake kikamilifu dhidi ya serikali ya Tanzania, kwani bado hawajapokea ripoti inayodai madini wanayotoa nje ni ya uongo au kukutana na rais John Magufuli

Hivyo haishangazi Gordon alivoainisha wanatajarija kuweka migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi migodi chini ya uangalizi na utunzaji baada ya kuongea na wachambuzi Ijumaa.

"Kama itafikia pointi baada ya kutolewa kwa ripoti ya pili na bado kukawa na kikwazo juu ya mazungumzo na serikali tutaweka mgodi wa Bulyanhulu kwenye uangalizi na matengenezo," alisema.

"Hali kadhalika, kama kuna kiasi cha fedha ambacho tulifikia hicho kitakua kisababishi kingine . Hadi sasa, walioumizwa na hali hii ni wanahisa wa Acacia'

"Hatua tutakazochukua pamoja na wengine walioumizwa inabakia kwetu."

Kampuni hiyo imeathirika sana na kuzuiwa kutolewa kwa makinikia nje na mwezi Mei tena kamati iliyoteuliwa na rais imedai mauzo ya nje yalikuwa makubwa kuliko kiasi kinachotangazwa

Kmati hiyo maalum iliyoundwa na rais ilichunguza makontena 277 ya makinikia ya shaba na dhahabu yaliyokuwa yanaongoja kusafirishwa na kukuta ya kiasi cha ounce 250,000 ndani sawa na uzalishaji wa mwaka mzima katika migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi kwa pamoja.

Acacia alisema kulikuwa na 26,000 oz ya dhahabu kwenye makinikia yaliyokuwepo kwenye makontena hayo.

Gordon alisema alikuwa katika nchini wiki hii na mwenyekiti na Barrick Gold (CN: ABX) Rais Kelvin Dushnisky, lakini hawakuweza kukutana na Rais.

"Waziri Mkuu alisema serikali ingetushirikisha sisi baada ya kamati ya pili kutoa matokeo yake" alisema. "Kwa hiyo, kumekuwa na kiasi cha wasiwasi nchini humo juu ya sifa ya nchi hiyo kuharibika kwenye suala lauwekezaji wa kimataifa ."

Ripoti ya pili inastahili kutolewa ndani ya wiki mbili, kampuni alisema.

Acacia wana kiasi kidogo cha pesa taslimu na inawapa wakati mgumu wakati huu.

"Tumeanguka kutoka kiasi cha karibia dola zakimarekani milioni 320 [taslimu] kwenye mizania yetu hadi dola za kimarekani milioni 165," Gordon alisema.

"Hatuwezi kuendelea milele. Sisi tunajua ni nini kitatokea marufuku hii iliendelea kwa muda mrefu, wakati sisi tunaona kuna nafasi ya kufanya usuluhishi wa hili katika wiki chache zijazo. "

Tumepoteza mapato ya kiasi cha dola milioni 25 hadi milioni 30 kwa mwezi kutokana na marufuku hii , Gordon alisema, matumizi halisi yaliyotokana na marufuku hiyo ni dola milioni 15 kwa mwezi.

Wafanyakazi pia waemanza kupunguzwa na ili kuondoa matumizi yasiyoya lazima lazima

==================================
Acacia Mining (LN:ACA) could share some of its investors’ "pain" with Tanzania if the gold concentrate export dispute is not resolved in the coming week, CEO Brad Gordon has said.

In the dark: Acacia Mining has still not received the report that claimed it has ripped off Tanzania

Acacia has still not been able to make its case fully to the Tanzania government, having not yet received the damning report into its exports or set up a meeting with president John Magufuli.

It is hardly surprising then that Gordon outlined the prospect of putting the Bulyanhulu and Buzwagi mines under care and maintenance on a call with analysts on Friday.

“If we get to a point following the release of the second report, where we see an impasse in dialogue with the government, we would put Buly on care and maintenance,” he said.
“Likewise, if there was a level of cash which we reached that would be another trigger. Up until now, the pain has all been felt by Acacia shareholders.

“Those options and other options where that pain is shared remain open to us.”

The company has been hit hard by the Tanzanian concentrate export ban and again, in May, by the committee that said exports far exceeded declared amounts.

The specially-formed presidential committee looked at 277 containers bound for shipping that were holding gold and copper concentrate and said there was 250,000 ounces of gold in them, the equivalent to a whole year’s concentrate production at Bulyanhulu and Buzwagi combined.
Acacia said there was 26,000 oz of gold in the concentarte

Gordon said he was in the country this week with chairman and Barrick Gold (CN:ABX) president Kelvin Dushnisky, but did not meet with the president.

“The prime minister said the government wanted to engage with us after the second committee result came out,” he said. “So, there has been some concern within the country on the damage to its reputation in terms of international investment.”

The second report should be released within a fortnight, the company said.

Acacia is burning through cash in the meantime.

“We’ve gone from a level of around US$320 million [cash] on our balance sheet to … $165 million,” Gordon said.

“We can’t continue forever. We have clear scenarios planned on what would happen if this ban continued for a length of time, while we do see there is room for a potential resolution to this in the next few weeks.”

The lost revenue from the export ban is $25-$30 million a month, Gordon said, and the actual spend associated with the ban is $15 million a month.

Workers are also being laid off and “non-essential” spending put on hold.
 
Hii ndiyo maana halisi ya "kimya kimya" unabinya makende ya mwizi kimya kimya hadi mwizi mwenyewe apige kelele ya kuomba msaada!

“We’ve gone from a level of around US$320 million [cash] on our balance sheet to … $165 million,” Gordon said.
Go go go Magu!
 
Hawa jamaa walifikiria JPM is joking. Report ilitoka wakakimbilia kwenye media zao huko Ulaya kumpiga Mkwara Ngosha. Hawakujua kwamba everything Ngosha is doing is well calculated in advance. Wajiandae kwa dialogue. Huu upuuzi wa kuiba raslimali za waafika kwa kuongea kiingereza kingi na kututisha kuhusu misaada should come to an end. Huo mchanga tuliambiwa ni %ndogo sana ya mapato yao. Leo baada ya kuminywa tunaambiwa mchanga ndo ulikuwa tegemeo la mapato. Na bado mtasema yote tuu.

Ngosha amejitoa sadaka kwa waTanzania (in his voice..)
 
Simmewapa wenyewe ? Sasa wanaibaje
 
Ha ha haaaa

Wasubiri tu, yaani wawe na subira ya kusubiri ripoti ya pili

Kazi wanayo kweli, hawajui hii ni awamu ya tano kuonana na Rais haina mchezo mchezo waliozoea awamu zilizopita kukatisha mambo kwa pesa zao...

Wanahaha hawaamini kabisa hata mtonyo hawapati, hayo ya reputation ya nchi yetu juu ya international investment watuache sisi na nchi yetu wasitutishe kabisa shaaaaa...

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeee
 
hawa

hawa watu kumbe walivamia tu nchini kwetu wakaanza kuchimba madini bila ruhusa yetu eehe
 
Hawa jamaa walifikiria JPM is joking. Report ilitoka wakakimbilia kwenye media zao huko Ulaya kumpiga Mkwara Ngosha. Hawakujua kwamba everything Ngosha is doing is well calculated in advance. Wajiandae kwa dialogue. Huu upuuzi wa kuiba raslimali za waafika kwa kuongea kiingereza kingi na kututisha kuhusu misaada should come to an end. Huo mchanga tuliambiwa ni %ndogo sana ya mapato yao. Leo baada ya kuminywa tunaambiwa mchanga ndo ulikuwa tegemeo la mapato. Na bado mtasema yote tuu.

Ngosha amejitoa sadaka kwa waTanzania (in his voice..)
1. Hawaibi, tumewapa wenyewe kwa makubaliano, hawaibi.

2. Je wewe unadhani wapi tunaibiwa, kwenye mchanga au kwenye dhahabu inayosafishwa mgodini na kisha kuchukuliwa na ndege kwenda ulaya? Yani dhahabu nyingi tunaibiwa wapi, kwenye mchanga au ile pure inayozalishwa moja kwa moja mgodini?

3. Kama acacia wanatuibia kwenye mchanga, je Geita gold mine na North Mara ambao hawasafirishi mchanga hawatuibii?

Yani wizi tuuone kwenye mchanga alafu huko kwingine hatuibiwi?

Alieturoga katuweza.
 
yani tumeaminishwa huo mchanga una thamani kubwa kuliko zile dhahabu peke yake zinazilo safirishwa .
 
Back
Top Bottom