Hawa jamaa siyo kwamba waliweka makao yao Tanzania bali walitoka mafichoni masaki wakahamia pale Victoria Acacia tower lakini makao yao makuu ni London wana ofisi Joburg na Dar ambazo Wanasema ni za logistic tu not head quarters so wanadai wanafata sheria za kimataifa kwanza zinazowalinda siyo za Tz inaonekana ili walinde maslahi yao sasa mambo yamegeuka wamepagawa.