Msolopagazi
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 663
- 153
Kampuni la uchimbaji madini la Acacia limekanusha tuhuma za ukwepaji kodi zilizotolewa mapema wiki hii na kusema kwamba wenyewe hawa husiki na wala hawadaiwi chochote na serikali kwani kodi hiyo wa natakiwa kuanza kulipa mwaka 2018 kutokana na uwekezaji waliofanya wa dola bil 3.2 kwani Bado hawajarudisha hela yao Source mie mwenyewe eneo la tukio Ngoja tuone Magufuli Atafanya nini.