Acacia Options to Pay U$300m

Imekuingia hiyo tayari mmeshapigwa za chembe
 
Kama wewe ulivyozidiwa kuhara hapa! Mbona huwezi kuuficha ulimbukeni wako wewe? Unatia kinyaa na kuwachefua wengine humu! Au hiyo hoja kwako haieleweki? Nashindwa kupata tafsiri ya uzalendo mnayoimaanisha hapo lumumba! Mnafiki wa kisiasa wewe?!
Mkuu huyo ni kati ya watu wasiyo julikana
 
Mimi kwetu ni misungwi maana ya Mayalla ni njaa
 
Imekuingia hiyo tayari mmeshapigwa za chembe

Namsikiliza King wa Tanzania sasa hivi.. anamwaga nondo hadi raha.

Mmepigwa vibao najua hamna hamu na udaku wenu.. eeeeeh

Magufuli 2020
 
Inakuuma nini?
 
post yako nimeipenda, kwasasa ukitaka upate watu wa kupiga nao kelele mchana kutwa anzisha debate juu Ya hili na story za hospitalin huko Nairobi, mengine hupati mtu
 
Makonda oyeeeee,amekarabati magari 24 Kati 56
World record breaking epic
 
Dalili za kukata tamaa ni wewe au mwingine uko mwishoni kusalimu amri si kusander huku..!

Mtu Akishindwa huwa anadai tuache yaishe..!
 
Dalili za kukata tamaa ni wewe au mwingine uko mwishoni kusalimu amri si kusander huku..!

Mtu Akishindwa huwa anadai tuache yaishe..!

Eeeeeeeh
Umeajiona umeandikaaaaa mnaboa humu mnavunja uhondo wa JF kiaina.
 
Namsikiliza King wa Tanzania sasa hivi.. anamwaga nondo hadi raha.

Mmepigwa vibao najua hamna hamu na udaku wenu.. eeeeeh

Magufuli 2020
Labda kama kwenu kuna mchumba aje kuchumbia! Muwe mnajitathimini basi kwa kila hatua? Najua na nina uhakika kuwa hata akisimama na jiwe katika uchaguzi leo hii na saa hii uusomapo uzi huu jiwe litashinda kwa kura nyingi sana. Eti 2020! Nani amsukumize tena ambaye hajaishiwa miayo?
 
Ha ha haaaaaa
Unatamani uwe yeye
Jipige vibao vya usoni ulie kwa kujiongezea maumivu unayoyapata kwa kusaga meno.. na bado ulizoea ya dezo jifunze kusaka kivyako.. mvivj wewe usiye hata na fikra za kujiongeza bila kuiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…