Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,612
Kuna tofauti gani kati ya Acacia na Barrick?Wanabodi
Leo ndio Siku ya Mwisho ya Acacia Mining, yaani Leo Ndio Final Finale, ya
Iliyokuwa Acacia Mining, now Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imeanza kutumika leo, sasa ndio rasmi kuanzia leo hakuna tena Acacia kilichopo ni Barrick.
Muulize Tundu Antipas Lisu!Na wewe tumia kichwa kufikiri na sio tu kuandika!!
Baada ya hiyo Acacia kufa,sisi kama nchi tunapata nini kutoka kwa hao Barrick?
Na wewe hapa muulize Jiwe!!Kuna tofauti gani kati ya Acacia na Barrick?
Wanabodi
Leo ndio Siku ya Mwisho ya Acacia Mining, yaani Leo Ndio Final Finale, ya
Iliyokuwa Acacia Mining, now Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imeanza kutumika leo, sasa ndio rasmi kuanzia leo hakuna tena Acacia kilichopo ni Barrick.
Na wewe tumia kichwa kufikiri na sio tu kuandika!!
Baada ya hiyo Acacia kufa,sisi kama nchi tunapata nini kutoka kwa hao Barrick?
Kuna watu wana 'stress mlundikano' humu😋
Je kutokea kwa haya ni dalili kuwa serikali ilikuwa sahihi ama..?
Tudadavulie tusiojua kinacho.. Mkuu.Wanabodi
Leo ndio Siku ya Mwisho ya Acacia Mining, yaani Leo Ndio Final Finale, ya
Iliyokuwa Acacia Mining, now Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imeanza kutumika leo, sasa ndio rasmi kuanzia leo hakuna tena Acacia kilichopo ni Barrick.
Bila kumtaja Lissu huwezi kufanya progress?Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu na wote waliohisika kutuondolea wahujumu wa rasilimali zetu. Hakika hiyo ni kumbukumbu itakayoachwa na utawala wa Rais Magufuli kwa vizazi vingi vijavyo.
Kwa nini Tundu Lissu alikuwa anawatetea watu wenye nia ovu kwa Rasilimali zetu kama wale?
Huyo keshavuliwa ubunge, hata zile hela za kununulia mishkaki zimeanza kukauka.Muulize Tundu Antipas Lisu!
Unamaanisha kuwa huenda 'Tegu' tumboni kwa jamaa huenda wanatafuna utumbo badala ya Chakula ndio sababu ya kuropoka?Mkuu hakikisha unapata lunch kwanza kabla hujaingia humu....
Safi sana Mayalla kwa uchambuzi na Elimu murua kwa wale wote wenye Roho za kwaniniWanabodi
Leo ndio Siku ya Mwisho ya Acacia Mining, yaani Leo Ndio Final Finale, ya
Iliyokuwa Acacia Mining, now Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imeanza kutumika leo, sasa ndio rasmi kuanzia leo hakuna tena Acacia kilichopo ni Barrick.
Kifuatacho
1. Unaandaliwa mkataba mpya kati ya Barrick na serikali ya Tanzania ambapo Tanzania tutalipwa kifuta machozi cha
Dola milioni 300. Tukiisha saini tuu, bahasha ya dola milioni 100 inawekwa juu ya meza. Dola Milioni 200 iliyobaki kulipwa kidogo kidogo.
2. Inaanzishwa kampuni mpya ya ubia ya Barrick na Tanzania ambapo Tanzania tunagaiwa shares 16% za bure bure.
3. Makao makuu yatakuwa jijini Mwanza.
4. Watanzania wataingia kwe bodi ya kampuni hiyo.
5. Menejimenti itakuwa na Watanzania.
6. Tutagawana pasu kwa pasu manufaa ya kiuchumi, yaani 50/50 ya manufaa ya kiuchumi, economic benefits. NB sio kugawana faida!.
Hongera Kabudi
Hongera Magufuli
Hongera Watanzania.
Mungu Ibariki Magufuli.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali