Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,443
- 113,452
Wanabodi
Leo ndio Siku ya Mwisho ya Acacia Mining, yaani Leo Ndio Final Finale, ya
Iliyokuwa Acacia Mining, now Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imeanza kutumika leo, sasa ndio rasmi kuanzia leo hakuna tena Acacia kilichopo ni Barrick.
Kifuatacho
1. Unaandaliwa mkataba mpya kati ya Barrick na serikali ya Tanzania ambapo Tanzania tutalipwa kifuta machozi cha
Dola milioni 300. Tukiisha saini tuu, bahasha ya dola milioni 100 inawekwa juu ya meza. Dola Milioni 200 iliyobaki kulipwa kidogo kidogo.
2. Inaanzishwa kampuni mpya ya ubia ya Barrick na Tanzania ambapo Tanzania tunagaiwa shares 16% za bure bure.
3. Makao makuu yatakuwa jijini Mwanza.
4. Watanzania wataingia kwe bodi ya kampuni hiyo.
5. Menejimenti itakuwa na Watanzania.
6. Tutagawana pasu kwa pasu manufaa ya kiuchumi, yaani 50/50 ya manufaa ya kiuchumi, economic benefits. NB sio kugawana faida!.
Hongera Kabudi
Hongera Magufuli
Hongera Watanzania.
Mungu Mbariki Magufuli.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali

Barrick Gold Corporation - Home
www.acaciamining.com
Barrick Gold Corporation - Home
barrick.us8.list-manage.com