Geofrey Maseta
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 1,115
- 917
Umesomeka lumumba fc.. Nadhani leo posho kama kawa 3600 si haba.. lkn September mosi ni kwa wapenda demokrasia wote TzKama ni kweli ACT wamelalamika basi hawana akili maana Chadema ni matapeli na ni culprits waliobobea.
Hata Ukawa coalition haikuwa for real bali walitaka kuitumia kama ngazi na Mbatia kwa uroho wake aliingia king mwishowe kaiua nccr. Cuf nao wapo dhohooful khali ili hali wale wengine tangu Mwenyekiti wao afariki (RIP) ndo kabisa wamepotea.
Kimsingi CDM ni genge la wahuni na hawana mpango wa kushirikiana kwa lolote na chochote na vyama vingine.
Trust me guys.