AC-TWazalendo yakerwa Wapinzani wengine kutengwa oparation UKUTA

AC-TWazalendo yakerwa Wapinzani wengine kutengwa oparation UKUTA

Zitto aliwaasa wanachama wake kutojihusisha na maandamano kwa sababu hajatangaza.
Aliwaambia badala yake wamwandikie barua Director na kupitia mitandao ya jamii.
Nadhani angekuwa muungwana angeunga mkono UKUTA mara baada ya kutangazwa na siyo kuzuia wanachama wake.
 
Kama ni kweli ACT wamelalamika basi hawana akili maana Chadema ni matapeli na ni culprits waliobobea.

Hata Ukawa coalition haikuwa for real bali walitaka kuitumia kama ngazi na Mbatia kwa uroho wake aliingia king mwishowe kaiua nccr. Cuf nao wapo dhohooful khali ili hali wale wengine tangu Mwenyekiti wao afariki (RIP) ndo kabisa wamepotea.


Kimsingi CDM ni genge la wahuni na hawana mpango wa kushirikiana kwa lolote na chochote na vyama vingine.

Trust me guys.
 
Chama cha ACT wazalendo kimelalamikia kitendo cha chadema kuanzisha operation ukuta bila kuwashirikisha wapinzani huku wakijua kua ukandamizaji wa demokrasia unawaathiri pia wapinzani wengine.
Huu uzi ndugu yangu mcubic ameuona?
Cc:mcubic
 
Hawa jamaa wanapenda shari sana juzi Zitto aliwazuia wanachama wake kujiunga na UKUTA kwa kuwa wao wana operation yao leo wanasema eti wametengwa.
Maelekezo ya Kiongozi wa Chama ( KC ) kwa Wanachama Wote wa ACT Wazalendo ( KC/01/2016 ).

4. Hivyo basi napenda wanachama wetu watambue kuwa Sisi sio sehemu ya operesheni yeyote ile iliyotangazwa na Chama kingine chochote kile isipokuwa Operesheni Linda Demokrasia kama ilivyotangazwa kupitia Tamko la Mbagala la Juni 5, 2016.

5 Chama chetu hakijatangaza maandamano na hivyo wanachama wetu wasiingie katika mambo hayo. Hata hivyo kila mwanachama wa Chama chetu aandike barua kwa Rais Magufuli kwa namna anavyoona yeye kumtaka aache kuingiza Nchi kwenye utawala wa Imla.

Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb
Kiongozi wa Chama
30/7/2016
 
Mods siku hizi mnauchapa usingizi mno,watu dizain ya mleta uzi ni wa kula ban hata ya miezi 8,huwezi ukaleta umbea kwa ma GT na baadhi ya mbumbumbu hata hayaulizi source ni kuponda tu.
 
Mbona wakati wa kampeni walijitenga na UKAWA na hakuna aliyelalamika?
UKUTA imekuwa big deal eeh?Hata hivyo sidhani kama UKUTA imelengwa kwa chama/watu/kikundi fulani.
Ni kwa wote wanaodai uhuru wa kidemokrasia.
Tunataka nchi iendeshwe kikatiba na sio maamuzi ya mtu binafsi.
Mkuu nifah ujue majuto ni mjukuu na kawaida mshahara wa msaliti ni aibu na kutengwa
 
Mbona UKUTA wapo hata Ccm wanaopinga udikteta? Na wameahidi kushiriki bila ya kujiunga na Chadema? Hivyo Ukuta ni kitaifa sio chama na hakuna aliyetengwa
Yaani ukuta ni sawa na maji au hewa safi ya oxygen kwa mustakabali wa uhai wa taifa letu
 
Hebu toa chanzo cha hiyo taarifa yako kwanza,vinginevyo naiona kama takataka naitupa kwenye pipa la taka,yaani wee umeona hapa jf ni mikurupuko fc sio? yaani ukiweka uzi watu wanapanda tu,hawajiulizi hii habari imetoka wapi? umebugi sio wote,weka chanzo cha habari yako ili iwe na uzito.
Naona tayari hilo gari ushalipanda bila kushurutishwa
 
Zitto aliwaasa wanachama wake kutojihusisha na maandamano kwa sababu hajatangaza.
Aliwaambia badala yake wamwandikie barua Director na kupitia mitandao ya jamii.
Nadhani angekuwa muungwana angeunga mkono UKUTA mara baada ya kutangazwa na siyo kuzuia wanachama wake.
Mkuu ukishakuwa kiongozi mkuu na nuru pekee ya chama basi wewe ndiye kila kitu, huoni wengine wameamua kujiunga na kueneza neno la mungu?
 
Kama ni kweli ACT wamelalamika basi hawana akili maana Chadema ni matapeli na ni culprits waliobobea.

Hata Ukawa coalition haikuwa for real bali walitaka kuitumia kama ngazi na Mbatia kwa uroho wake aliingia king mwishowe kaiua nccr. Cuf nao wapo dhohooful khali ili hali wale wengine tangu Mwenyekiti wao afariki (RIP) ndo kabisa wamepotea.


Kimsingi CDM ni genge la wahuni na hawana mpango wa kushirikiana kwa lolote na chochote na vyama vingine.

Trust me guys.
Tapeli ni wewe na ukoo wako wote wa panya uliokatwa mikia na mitego
 
Mkuu ukishakuwa kiongozi mkuu na nuru pekee ya chama basi wewe ndiye kila kitu, huoni wengine wameamua kujiunga na kueneza neno la mungu?
Na hicho ndio kinakwenda kutokea Ccm, usijeshangaa kusikia Kinana kaamua kuwa sheikh wa msikiti wa Ngarenaro
 
Back
Top Bottom