Ac milan yaifanyia arsenal kitu mbaya sana,ambacho wa2 walikuwa hawategemei kwa kuipa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0!,mi nasema arsenal ndio bac tena,hana uwezo wa kumfunga bao 5,ktk mechi ya marudiano baada ya wiki 2,hata kama watakuwa kwao,na mnabahati mzee mzima sediof aliumia mapema ingekuwa balaa,bora mi nipo europa,hawa arsenal leo vipi utadhani walikuwa wamelewa!ohoo ac milan wazee haya!kweli Ngoma ya watoto haikeshi.