Abu Hamza's wife 'should be kicked out of her £1m council house' now hate preacher has been extradit

tafsiri ya aya hujaleta bwana mkubwa na bwana yesu si ametoa amri

kwa kuanzia , waulize wahindi wmfano wekundu , waeborigins watakupa jibu na bila ya kusahau vita ya msalaba sijagusa na hii vita ya leo pamoja na utumwa
Yesu alitoa mfano wa watumwa wasiowaaminifu kwa bwana zao, hutendwa hivyo. Ndivyo ilivyo hata leo kuna dini na imani ambazo mwuumini wake anapobadili msimamo huuliwa hadharani. Hapa TZ watu waliowahifikwa na amri ya kuuwa ila bahati yao nchi inatawaliwa kisecular ni pamoja na mwanazuoni -msomi ni Ustaadhi Omari, Samwel (zamani Sadru), Mch. Peter Abdalah Rashid na maustadhi kadhaa wengine wanasikia kila siku Morning Star Radio 105.3 ya waadventista wasabato na huko Somalia Mch. Alhajj Adamu Haji .

kwa miaka yote vita ni dhidi ya ukristo sio ukristo dhidi ya watu. Ukristo (uokovu), sio udini na udhehebu huo ndio umetumia muda mwingi kuufisha uokovu. Uokovu utadumu milele, maana neno la Jehova litabaki milele bali dunia na dini na madhehebu vitatupwa jehanamu ya moto wa milele. Yesu Masihi ni Njia, Kweli na Uzima.

Kutafuta kumwuuwa Yesu hakujajulikana leo, kulitabiria na vitabu vyote vya manabii wa Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo. Madai ya mungu ye yote ambaye siye huyu aliyesema hata milele Jina lake ni Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka, Mungu wa Yakobo hayawezikupokelewa na mtu yeyote aliyeokolewa na kuoshwa dhambi zake kwa damu ya Yesu, Yeye ni Mfalme wa Milele, Mfalme wa Amani. Haui, wanaouawa sio waliowake.
 
SOMA MWENYEWE HII LINK Christianity and violence - Wikipedia, the free encyclopedia

KWA KUMALIZIA WAPI BWANA YESU AMESEMA MIMI YESU NIMEKUJA KUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZENU
 
Ninachokuambia sio ukristo, adui wa dini zote ni uokovu. Uokovu katika ulimwengu wa roho umekuwa kikwazo kwa utendaji wa roho na miungu iliyonyuma ya imani hizo. Uokovu ndio adui mkuu wa uislam na dini zote uzijuazo wewe.

Hicho ukisemacho wewe sio uokovu. Hata wewe, unakerwa na uokovu, tatizo lako hujui tofauti iliyopo kati ya uokovu katika damu na msalaba wa Yesu na kufufuka kwa Yesu Masihi. Dini zitapigana zenyewe kwa zenyewe, hiyo ilishgatabiriwa. Na wengine mtauwa watu wengi kama kafara kwa miungu yenu. Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Israel hahitaji damu ya awaye yote. Damu ya Yesu pale Golgota ilishatoshereza kumkomboa mwanadamu.
 
What a vempire god needing blood to forgive the sins of his own creations! This must be the most fantastic absurd doctrine of all time.
 
Back
Top Bottom