Absalom Kibanda yuko sahihi, Nimeanza kumuogopa Kinana

TandaleOne Verbosity haina uwiano na hoja ni kutupotezea muda wa kusoma mada ndefu isiyo na takwimu bali infatuation; love at first sight kwa Kinana!! you seem to know the words BUT you miss their meaning!!

Twambie mafanikio ya Kinana katika haya machache ni yapi?!
1. Mawaziri Mizigo = washout!
2. Kesi dhidi ya Msigwa kuhusu tuhuma za ujangili dhidi ya Kinana = ??!!
3. katiba mpya = dead end
4. Rushwa chaguzi za CCM; Miezi 6 ya Mangula = mwaka mmoja baadae hakuna kitu!
5. Makundi ndani ya CCM = -ve O
6. Udhibiti wa nidhamu ndani ya CCM
7. Magamba yamekuwa mawe, au Kinana hayaoni?!
8. Mbio za Urais; wanakatazwa wanaongezeka; juzi Pinda nae eti kadandia Bogi!! nyumba haina mwenyewe.

Chama kimekuwa ukoo wa panya we unatwambia eti Kinana; mtendaji mkuu wa CCM ni wa kuogopwa; lahaula! labda kama Ukoma lakini sio kiutendaji!

Think man think; do not be a mere parrot!

Great thinkers hapa JF wataongeza issues nyingine nyeti ambazo nazijua lakini I dont want to be a "know it all" kind of Guy!!

Hiyo ndio assessment ya performance ya katibu mkuu Kinana kwa ufupi; Kibanda alimuogopa Kinana; misplaced alitakiwa kuwaogopa waliothubutu kumtoboa macho sio Kinana, the guys is too soft kuweza kushake up wahafidhina na mfumo wa kimaslahi wa CCM

Go back to the drawing board!
 
Mzee kinana amepotea kwenye weledi

Back
Top Bottom