ABSA bank msiendeleze madudu ya BARCLAYS tafadhali

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Siku za hivi karibuni umma ulitangaziwa mabadiliko ya umiliki wa bank kutoka iliyokuwa barclays (T) L.T.D kwenda ABSA uzuri mabadiliko haya yalifanyika bila kuathiriri uendeshaji wala akaunti za wateja. Iliyokuwa barclays ilikuwa na mchezo mmoja ambao pengine haukuwa msimamo wa banki bali ni wa watendaji kadhaa ambao sio waaminifu, nadhani wengi tumeshuhudia ama kusikia kuwa kwa sasa unapowekewa kiasi kingi cha hela ni lazima kijulikane chanzo chako cha mapato ili kuepuka uhalifu wa kiuchumi. Katika zoezi hili watu wamekuwa wakipigiwa simu na kuulizwa vyanzo vya hela ambazo zinaingizwa kwenye akaunti zao. Wakati mteja anakwenda kufungua akaunti huwa anaandika namba yake ya simu na barua pepe, bank pia huwa wana namba zao za simu napendekeza ziwe za mezani (landline) au kama ni ya mkononi iwe na usajili na isiwe ya kubadilika badilika. Watumishi Hawa wasio waaminifu wamekuwa wakiwapigiwa wateja walioweka fedha kwa mkupuo kwenye akaunti kwa kutumia namba zao binafsi mida ambayo siyo ya kazi na siku ambazo pengine siyo za kazi (hii inaepusha mawasiliano kuweza kurekodiwa) kwani simu zote za ofisi kupitia huduma kwa wateja huwa zinarekodiwa, maafisa hawa walikuwa wanakwambia kuwa kuna kiwango cha fedha kimeingia katika akaunti yako hivyo njoo tawini kesho tujadili walinipigia simu siku moja nimeuza kibanda chetu cha urithi nikamuuliza dada yule (jina namuhifadhi) dada mbona huu sio muda wa kazi na mbona namba uliyotumia ni ya binafsi nikamwelekeza aniandikie barua pepe hakufanya hivyo badala yake akawa anamtumia kaka mwingine mtumishi wa hapo (naye jina namuhifadhi) Bahati mbaya yule kaka anajazba hivyo tulichukuana upepo na keshoye nilikwenda kwa meneja tawi ambaye hakuchukua hatua ilibidi niende BOT kitendo cha malalamiko ambapo sikuweza kufuatilia mpaka mwisho kwani bank ilibadilishwa jina ila nina nakala za barua zilizopokelewa nimezitunza, bank mkipigia wateja simu tumieni namba ya mezani na kama ni ya mkononi iwe imesajiliwa kwa jina la bank husika na siyo kila mtumishi mwenye uwezo wa ku gain access kwenye akaunti yako anakupigia simu na kukuuliza hela umetoa wapi njoo basi tuongee na vitisho lukuki najua kila mtu ana kula ofisini kwake ila dhulma haikubaliki
 
Hakuna afisa wa benkinanaeruhusiwa kukupigia simu,ni matapeli,labda kuwe na tatizo la akaunti lakini sio.pesa.kuingia,kama.wamehisi.ni chafu wanajua.wapi kwa kuripoti
 
Asante kwa kunielewa ndio maana nasisitiza hilo
 
Barclays Bank/ Absa Bank Hawalipi watumishi waliokuwa wanadai haki zao wanaendeleza unyonyaji na makesi mahakamani ...
wanaona bora walipe wakili kuliko kulipa waliokuwa watumishi wao....
dawa yao ni kuhamasisha jamii kukataa huduma zao.....
 
Back
Top Bottom