Abraham Accord-Makubaliano ya Ibrahimu

Abraham Accord-Makubaliano ya Ibrahimu

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,946
Reaction score
6,035
Kuna uwezekano mkubwa kuna watu hawajui Malengo ya Abraham Accord ambayo Israel inayasimamia . Kama huyajui basi fuatana nami nikujuze:
Maazimio ya Abraham Accord kudumisha na kuimarisha amani katika Mashariki ya Kati na duniani kote kwa kuzingatia maelewano na kuishi pamoja, pamoja na kuheshimu utu na uhuru wa binadamu, ukiwemo uhuru wa kidini. Agano la Mungu na Ibrahimu lina sehemu tatu, nalo linaanza na ahadi tatu: kumfanya Ibrahimu kuwa taifa kubwa ( 12:1 ); kumpa jina kuu ( 12:2 ); na kumfanya kuwa chanzo cha baraka kwa ulimwengu wote (12:3). Mungu baadaye "huboresha" ahadi hizi tatu - kuzigeuza kuwa maagano ya kimungu.

Cha kufurahisha kuna nchi nne hadi sita, ikiwa ni pamoja na Azerbaijan, Armenia, Syria na Lebanon, huenda zikajiunga na Saudi Arabia na nyingine katika Makubaliano ya Abraham katika miezi ijayo.

Ikumbuke Magaidi wa Hamas walikuwa wanapinga sana makubaliano hayo na Oct 07,2023 wallisababisha kuvunjika au kukwama kwa mazungumzo hayo Abraham Accord ni Mwita mkali kwa utawala wa Ayatollah huko Iran.
 

Attachments

  • uae.mp4
    41.4 MB
Back
Top Bottom