About to DELETE or ERASE data | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

About to DELETE or ERASE data

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Thinker96, Sep 9, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wataalamu,
  nawasalimuni tafadhali naomba mnieleze hivi kitu ukifuta kinatokea wapi? au kuna program ambayo inatunza vitu vilivyofutwa mpaka kwenye recyle bin ?
  Tafadhali hilo swali nimejiuliza baada ya bahati mbaya kufuta kitu muhimu na sasa nawaza kama hakijatokea kokote kwa hiyo najua kipo ndani sasa kukirudisha ndo naona kama kimetoka na kilipotokea najiuliza til now ni wapi?
   
 2. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Swali lako ulivyouliza litasumbua watu kukuelewa.Ukifuta data or whatever ni kwamba kinaenda kwenye recycle bin ila bado kinakuwa kimechukua computer memory.Ukifuta kwenye recycle bin kinatoweka na hakitumii computer memory I mean memory space inarudishwa ila ukiitaka data amabayo umeifuta mpaka kwenye recycle bin kuna software za kurudisha.Unachagua aina ya mafaili unayotaka kurudisha otherwise inarudisha yote then wewe utayasort.Hakuna data inayopotea completely kwenye computer.Kwa hiyo ukidelete data hazitoki kwenye computer zinabaki humo humo.
   
 3. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu umenipa mwanga nimeamini ujuzi bado watu mnaumiliki safi sana Aqua
   
 4. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri umepata jibu zuri kwa Aqua,
  kama unataka kurudisha files ulizofuta permantently utahitaji software maalum ya kufanya hiyo kazi
  baadhi ni kama Undelete Plus, Pandorarecovery (google utazipata)

  Kama umedelete tu kwenda kwenye Recycle Bin, fanya kama ulivyoamabiwa nenda kwenye recycle bin right click file unalotaka halafua click Restore, litarudi lilipokuwa
   
Loading...