Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Kwanza tazama hili Tangazo
http://www.youtube.com/watch?v=p2rEb52pp1s
Huyu jamaa yuko pale tangu enzi za Zakia Meghji na so far naona focus imekuwa kutangaza nchi kuwa ina wanyama wengi bas na ule mlima unaoyeyuka kule juu. No wonder hata Blandina Nyoni pamoja na kujidai kuwa ni mtu wa standards alishindwa kumhamisha
Nadhani its about time wakamweka mtu mwingine mwenye mawazo tofauuti na huyu Mwenguo
Hivi kuna ugumu gani kwa Mwenguo kulobby JIJI waweke Traffic lights ili wale watalii wapovuka kukata ticket pale St Peters sasa jiulize ishu ndogo kama hiyo kama inamshinda ndio ataweza kweli hiyo grand ambitions za kuifanya Kariakoo kuwa tourist attraction?
Huyu mtu nimeanza kumsikia toka enzi za Tanzania Tourist Corp (TTC). Hivi bado yupo tu!.
toka mke wake yule mlevi afariki basi hana akili tena ya kuhusu utalii!!!!
Actually masikini nchi yetu haina upeo wa kutangaza utalii angalia hata matangazo yao ya kimataifa ni kioja hawataki kukusanya data toka kwa watz wa sehemu mbalimbali ila wanataka wale wenyewe na watu wa ubalozini kujifanya wanazijua kila kona za nchi ambazo mabalozi hao wapo wakati mabalozi wetu at large wanaishia kwenye capitals...kwa mfano kama UK wanajua london,US wanajua washington na New york n.k Lakini hela zinazoliwa kwa mfano hapa UK walikuja wiki ilyopita ni nyingi mno kuliko kutangaza huo utalii. we London kuna mtalii gani wakati ile ni Multicultural city!!!? potential tourists wapo country side
kwa hiyo wahusishwe watu wa miji mingine!!!!
walichokifanya si kibaya....isipokuwa wanatakiwa waongeze the outrech campaign ya kuitangaza Tanzania na Utalii wake......
GT Blandina Nyoni hajifanyi kuwa mtu wa standars bali ni mtu wa viwango vya hali ya juu na we ngoja uone atakavyobadilisha pale Ocean Road Cancer hospital baada ya tuhuma zinazowakabili viongozi wa pale. She is an IRON lady no jokosity!! I guess she believes in ACTION and not ELOQUENCE!!
Ogah!!!
it couldnt have been said any better!!!! Wanatakiwa waongeze the outreach campaign!!!
Sasa tatizo linakuja moja tu kwa hawa jamaa, STRATEGIES TO MARKET TANZANIA TOURISM ATTRACTION!!!
Wao wanadhani ni kwenda kwenye exhibitions nk. unakuta mkurugenzi mzima (hapa namaanisha Peter, Macha, Finance Director, hadi afisa uajiri) wanajazana kwenye square meters 12 ulaya wakisimia vipeperushi na flat screen moja, this is totally abuse of available resources!!! Wao utangazaji hadi leo ni kwenda exhibition, kudhamini miss Tz na utalii na kukusanya fedha za tour operator kuwaandalia mabanda... HAPO SIJAGUSA ruzuku itokanayo na walipa kodi wa chi wafadhili na sie akina chukulubu!!
It could have been done better
Those are my two cents
- kwanza kuachia marketting department uhuru
- Pili kujenga uwezo wa watumishi wa idara husika
- Tatu ku-review thier annual marketting stragegies
- Nne kushirikiana zaidi na sekta binafsi sio kuwapigia simu kuomba complementatry na michango
- Tano kutumia vyema our networks nje
- Sita and the most IMPORTANT KUWA THE REAL BODI YA UTALII NA SIO MADALALI WA TOUR COMPANIES - maana yangu hapa ni kwamba act yake ibadilike na iwape kazi ya kusimamia utalii, kwa sasa hawana tofauti na TANAPA, NCAA na tour operators
...............Tanzania inajulikana sana sana ila kuna ulaji wa pesa na hawataki kuifanya iwakae wazungu vichwani kw akufanya mambo madogo madogo . Kuna progs za TV local Ulaya , editorials kweney magazeti , Internet na roa shows lakini yote haya hawawezi kuachia watu wenye uwezo lazima Macha awepo na Mwenguo na waziri . Kuna mengi pale TTB na kwa mwendo huu lazima Macha aondoke baada ya Mwenguo ndipo waje watu wenye uwezo wa kuelewa nguvu ya media nk .Vinginevyo hakuna kitu